kwa wanaomba omba second round Tcu na walikua wamechaguliwa vyuo ambavyo hawakuomba

jaridotcom2

Member
Jul 26, 2012
62
11
Jamani ninamdogo wangu alichagulwa chuo ambacho hakuomba kkulingana na Tangazo lililo wekwa kwenye Hope page ya TCU (tcu.co.tz: The Leading TCU Site on the Net) nimejaribu kumuombea second round lakini napata sms hiii.."DEAR APPLICANT!!,APPLICATION AND ADMISSION PROCESS IS DONE ONLY ONCE PER EACH STUDENT,YOU HAVE ADMITTED ALREADY, BE PATIENT AND SOON YOU WILL KNOW WHERE YOU HAVE SELECTED,THANK YOU!!. Je hiii sms inamaanisha nini?
 
wanasema hvi uteuzi wa vyuo unafanyika mara moja tu na ww umefanya tayari, kuwa mvumilivu muda c mrefu utajua umechaguliwa wapi. Thanx yu.
 
wanasema hvi uteuzi wa vyuo unafanyika mara moja tu na ww umefanya tayari, kuwa mvumilivu muda c mrefu utajua umechaguliwa wapi. Thanx yu.

Elewa ujumbe vizuri TCU wamesema aombe kama alichaguliwa chuo ambacho hakukiomba mwanzo ila nikijaribu kumuombea ndio wanatoa hiyo sms ambayo inamaanisha kuwa alishakua adimitted swali la msingi ni kwamba wanamaanisha kawa adimitted chuo kingine tofauti na walichomchagua ambacho hakikuwa chaguo lake? au TCU wanamaanisha nini kuwaambia watu waliochaguliwa vyuo ambavyo hawakuomba waombe upya khari ukiomba wanasema umeshachaguliwa?
so hapa simaanishi kuwa sikuelew lugha bali ni utata wanaotupa hawa TCU
 
Dizaini km amechaguliwa degree program na chuo nje ya zile selection.....inabidi kwanza alog in,aingie my plofile ataona

draft mbili 1 ikimtaka acomfirm chuo na degree coz au aikatae na aingie ktk 2nd round!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom