Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni kwa nini wanawake (watu wazima) wasio olewa wanamaamuzi ya ubabe?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by jaridotcom2, Jul 27, 2012.

  1. j

    jaridotcom2 Member

    #1
    Jul 27, 2012
    Joined: Jul 26, 2012
    Messages: 61
    Likes Received: 0
    Trophy Points: 13
    Jamani wanajamii naomba mnisaidie nimeshuhudia wanawake wengi ambao hawajaolewa mfano Anna Makinda wanakuwa na maamuzi ya kibabe na yasiyo husisha busara tatizo huwa ni nn?
     
  2. Laigwanan76

    Laigwanan76 JF-Expert Member

    #2
    Jul 28, 2012
    Joined: Nov 21, 2010
    Messages: 537
    Likes Received: 3
    Trophy Points: 35
    Wako wengi humu,ngoja waje watakujuza,ila nama watakavyokwambia kaza roho:behindsofa:
     
  3. Arvin sloane

    Arvin sloane JF-Expert Member

    #3
    Jul 28, 2012
    Joined: Jul 18, 2011
    Messages: 928
    Likes Received: 5
    Trophy Points: 35
    ngoja wafunguke tuwasikie bana.
     
  4. HorsePower

    HorsePower JF-Expert Member

    #4
    Jul 28, 2012
    Joined: Aug 22, 2008
    Messages: 3,617
    Likes Received: 28
    Trophy Points: 135
    Sidhani kama kuna mahusiano yoyote kati ya kutokuolewa na ubabe! Tabia ya ubabe ni tabia ya mtu bila kujali kama kaolewa ama hajaolewa. Nimeona pia wanawake wengi tu wameolewa lakini ni wababe mno mpaka wanafikia mpaka hatua ya kuwapiga waume zao au kuwafungia nje ....:nerd:
     
Loading...