Mwenye update ya Mhando (mkurugezi wa Tanesco aliyesimamiswa)

jaridotcom2

Member
Jul 26, 2012
62
11
Jamani nomba kuuliza kama kunamtu anajua nn kinaendelea juu ya huyu jamaa maana isije ikawa anarudi bana maana nilisikia kunawabunge pamoja na kamati ya nishart walikua wanamtetea sijui imefikia wapi?
 
Hachomoki na watu wake wote wana hali mbaya. NCCR mageuzi wametoa maelezo muda mfupi ITV juu ya wizi wake na pia baadhi ya wabunge tuliwasema wanaochumia tumbo. Tunawasubili tuwasikie ili waaibike zaidi.

Huyu Mhando na Mh. Mkono ni wezi tu hakuna jina zuri la kuwapa. CCM tunajimaliza wenyewe kwa kutetea maovu!
 
mgongano wa kimaslahi uliojitokeza kwenye swala zima la tanesco kwa kitendo cha wabunge ambao ni wajumbe wa bodi ya tanesco kutetea ufisadi huu? huwezi kuwatumikia mabwana wawili wakati mmoja ?? sasa unaongea kama mbunge saa ngapi na saa ngapi unaongea kama mjumbe wa bodi?? unalinda maslahi ya bunge au ya tanesco?? kama mbunge kazi yako ni oversight(kusimamia serikali(tanesco)) unawezaje kusimamia serikali wakati nawe ni sehemu ya serikali hiyo(mjumbe wa bodi)?? hii ni sawa na kuwa prosecutor na at the same time kuwa judge ktk kesi yako inayokuhusu. ni tz tu ndio inaruhusu upumbavu kama huu.
 
Back
Top Bottom