Ni kwa nini wanawake (watu wazima) wasio olewa wanamaamuzi ya kibabe?

jaridotcom2

Member
Jul 26, 2012
62
11
Jamani wanajamii naomba mnisaidie nimeshuhudia wanawake wengi ambao hawajaolewa mfano Anna Makinda wanakuwa na maamuzi ya kibabe na yasiyo husisha busara tatizo huwa ni nn?
 
Anna Makinda pekee si kioo cha tabia za wanawake ambao hawajaolewa... Hivyo basi, ilikuqualify hoja yako, ingekuwa vema ukaja na data/takwimu wakilishi.
 
Anna Makinda anaongozwa na sheria za bunge mkuu, wala siyo ubabe!

Toa mfano mwingine tukusome vizuri
 
Anna Makinda pekee si kioo cha tabia za wanawake ambao hawajaolewa... Hivyo basi, ilikuqualify hoja yako, ingekuwa vema ukaja na data/takwimu wakilishi.

Sawa najua Anna makinda sio kioo lakini nimetoa kama mfano ila nilishawaona wengi sana wa namna hiyo lakini nimeamua kutoa mfano kwa Makinda maana yeye anafahamika na wengi so nipe sababu sasa nazani umenielewa
 
Huyu mama bwana si alitengana na bwanake, haimaanishi kuwa haolewa.
 
They learn how to stand up for themselves. So ile missing link wana-create bridge ya ubabe.
 
Mwanamke yeyote wa heshima lazima awe na mume..ukiona mwanamke hajaolewa ujue ana tatizo na hilo analihamishia kwenye jamii anakua shida kweli kweli
 
Jamani wanajamii naomba mnisaidie nimeshuhudia wanawake wengi ambao hawajaolewa mfano Anna Makinda wanakuwa na maamuzi ya kibabe na yasiyo husisha busara tatizo huwa ni nn?

Mkubwa; ebu leta mifano hai kama miwili au mitatu hivi, ili tuweze kuamini usemalo!
 
Kama hutaki kuamini kakojoe ulale maana inavyoelekea hujatembea ukaona maana hata nikikutajia watu ninaokaa nao huwezi kuwajua
 
Back
Top Bottom