Search results

  1. M

    Good job Marando, leo yupo Temeke Ghadafi

    Baada ya kuwararua ccm na mbinu zao sas anaendelea na kampeni huko ghadafi kwelinkamanda alisema ccm kwa pani itaondoka leo nimeona ingaa ana watu wa kawaida ila nia hiyo hakika italeta ukombozi wa kweli, good job maana binafsi nimepita na kukuta akiwa ktk harakati na watu akiwa bado wanaingia...
  2. M

    Walimu ktk mgomo mkali Tanzania

    Asilimia 67 ya wanafunzihawataendelea na masoo ya aina yoyote maana wamefeli wote kwa mujibuwa necta,hivyo imethibitisha mgomo wa waalimu uko hai kama walivyosema wao kuwa serikali haiwezi kuwalazimisha kufundisha ingawa inaweza kuwalazimisha kwenda ktk majengo ya shule, sasa sijui kwa madaktari...
  3. M

    TRA system down for carriage cost, this is a deal

    Tpa carries the loads for 7 days free,tra they ensure system is down for such period that tpa eventually will charge and this has been confirmed as a deal between tpa and tra. Why should a car remain with tpa while actually had paid for taxes? Tanzaniasio kama uijuavyo hata mwakyembe ana deal...
  4. M

    Bandarini na TRA uozo mtupu, kazi bado

    Yaani ni uozo kabisa kwa mnaokaa na kufanya kazi huko mnaweza kutuambia kama kuna ufanisi wa aina yoyote lakini bado uozo
  5. M

    NCCR yakosa watu; yaahirisha maandamano

    Visingizio vya kuahirisha vingi sana kama vilivyoelezwa ktk radio lakini watu wazima akili mkichwa; mlikuwa mnapima upepo wa siasa zetu; kama wewe boga basi wewe boga huwezi kuitwa jiwe.
  6. M

    UMEME UPDATES PER WEEK-imediate

    Naomba bei ya umeme wiki hii pia sasa tuwe tunapata updates every second sunday on power rates hikes ili iwe rahisi kuweka plan ya wiki. 2 zinazofuata
  7. M

    WatakaopitIsha bajeti ya umeme walaaniwe

    yes walaaniwe, serikali haipo na haina aibu kama ipo hadi siku ya budget ni blackout. Jamani wataopitisha na mikofi na usanii binafsi nitashiriki washindwe na laana hii nasema itawaumbua na wataumbuka
  8. M

    kauli ya chadema tukio la mwanza

    Hakuna asiye jua CDM ilivyo kipenzi cha wana mwanza. Tunataka kauli sasa dr slaa, zitto hupokewa mwanza kama mfalme, where is comrade mbowe, mtete wa wanyonge where is lissu na wote, tunataka kauli kwa ajili ya tukio la mwanza maana nyie ni chama tawala muache kulalamika we need a statement...
  9. M

    PINDA: Wananchi njooni Dodoma, posho ni zenu tunawachukulia tu

    Ktk utetezi wa posho, mtoto wa mkulima Pinda alisema zinasaidia wabunge wakitoka milangoni wanakita kuna wananchi wanawaomba hela kwa mahitaji tofauti. Kwa tafsiri rahisi haijalishi ni ndugu au la wabunge wakikutana na wananchi milangoni basi watawasaidia na hiyo hela inatoka ktk posho. Sasa...
  10. M

    Slaa, Zitto, Lisu, Mdee, Mbowe, Mnyika etal: Polisi ni rushwa+wauajia

    Hi wapambanaji. Someni tarifa ya takukuru ya rushwa, polisi wanaongoza kwa ufisadi, na chagonja,mwema, manumba wanafaidika na hili, so hawawezi kutenda haki dhidi yenu chadema wasema kweli na haki. Put a very clear agenda kuwa chadema inapambana na mafisadi wa serikali wa mali ya umma wakilindwa...
  11. M

    CCM Magamba, JK na serikali wapigwa ganzi kali

    Ni wazo tu, kutokana na hali halisi. kiongozi na dr aliyewapiga ganzi ni dr slaa. 2007 aakataja mafisadi 11, dr hakuangalia sura hadi rais ndani, bungeni moto aliendelea kuwawashia, wakadhania watu hawaoni, ulingoni kaingia wakamdharau na kumpuuza, hali ilipozidi kuwa mbaya ikabidi wachakachue...
  12. M

    HRM ni Beki 5 anayefunga goli lake, na wengine wapo- Siasa za TZ

    Hi wajumbe, nimetafakari kufananisha wachezaji wa mpira namba tano ambaye kazi yake kulinda, ni pale ambapo bila kujua hugeuka na kuanza kushambulia goli lake inakuwaje, nimepata watu wachache ktk hili, wa kwanza anayejifunga kwa sasa yupo Hamad Rashid, bila kujua anaishambulia chadema na sasa...
  13. M

    Jk akubali katiba mpya-imeelezwa

    Kuna kundi dogo la akina makamba ambalo linafaidika na katiba iliyopo ndio kikwazo kwa uamuzi ambao kikwete ameshaukubali wa kuunda katiba mpya; anataka akumbukwe walau kwa hilo maana peoples power imeshinda uwezo kwa hoja; sasa pinda katumwa ili aanze kulainisha mambo; ili wenye vichwa ngumu...
  14. M

    Teh teh teh,Kweli wewe Rais wangu, ila ulipatikana kwa wizi wa kura,mwizi ni mwizi tu

    FACT; Kweli wewe ni rais wangu ila ulipatikana kwa wizi wa kura, na mwizi ni mwizi tu hata iweje Du ukweli unauma sio, tetetetetete safi sana, call a spade a spade
  15. M

    Elections 2010 Lipumba kupewa nafasi baraza la Mawaziri?

    Kuna tetesi kuwa JK ameamua kufanya kweli, baada ya Lipumba kumtambua sasa kumpa uwaziri mkuu au kuunda nae serikali ya umoja wa kitaifa kwa kuchagua akina Rashid mohamed kuwa mawaziri wa JK nk, ili kuendeleza ule muafaka wa Zanziba na huku kughiribu kuwa alikuwa bega jwa bega na wapinzani...
  16. M

    Elections 2010 Slaa ameshinda kwa 48%, JK 26%, Lipumba 15% On level field (2010)

    Wajumbe; JK ameshatangazwa kuwa rais wa Tanzania baada ya matokeo kuchakachuliwa; ila nina hesabu kidogo; Amechaguliwa kwa 26% ya kura zore 20Mili zilizositahili, na assume yeye ndiye ametumia maxumum resources hadi uchakachuaji hatari na kupakana matope wenzanke; so asilimia 74 inabaki kwa...
  17. M

    Elections 2010 JK, Shein hawapati watu, picha za 2005 zawaokoa

    Sijui kwa nini waandishi wanakubali kudanganya wananchi, rais anahutubia mkutano utaona ktk picha watu wamekaa mkutano wa ndani, hii ni nini kama sio kudanganya au siku hizi wanahutubia mikutano ya ndani tu? Nasikia watu wanaenda kuwaangalia wasanii tu wachache wanaoonyesha fiesta ya ccm...
  18. M

    Elections 2010 Dr Slaa ITV Live sasa

    Naona mtangazaji kamfuata mzee shinyanga, endeleeni kuona rais mtarajiwa akimwaga sera
  19. M

    Mzee wa EAC yadaiwa afa baada ya purukushani na Polisi akidai haki yake

    Wajumbe hii ilikuwa taarifa ya habari ya leo ITV; wameonyesha jinsi ambavyo serikali yetu inajali wazee wake wa tangu enzi hizo; mpaka sasa imefikia mzee kafariki kwa stroke wakati akifukuzwa na gali lenye upupu Kweli wazee wale wanachodai nakumbuka waliahidiwa wakati Awamu ya nne iinaingia...
  20. M

    Elections 2010 Is someone already on WIRE-GANZI

    Wajumbe je tayari hoja zimekosa kwa mkuu wetu maana ameahidi yote sasa yameisha na hana jipya tena? Je tayari ganzi inaanza kuingia taratibu na kila kisemwacho ni ahadi za miaka iliyoopita au bondia anaanda mbimu tena?; huenda kampeni zikakimbiwa mwaka huu; yetu macho Je coverage ya Dr Slaa...
Back
Top Bottom