NCCR yakosa watu; yaahirisha maandamano

Malunde-Malundi

JF-Expert Member
Jan 10, 2008
1,288
130
Visingizio vya kuahirisha vingi sana kama vilivyoelezwa ktk radio lakini watu wazima akili mkichwa; mlikuwa mnapima upepo wa siasa zetu; kama wewe boga basi wewe boga huwezi kuitwa jiwe.
 
ukweli ndo huo kuwa hiki chama hakina mvuto na kinaelekea kufa mara ya pili Kafulila kaondoka nacho.Mkosamali anza kujipanga kuondoka NCCR kama unataka kurud 2015
 
Dah!! kumbe ndo sababu!! Ndo maana wanataka kwenda ikulu kupata kashata na kahawa.Wameishiwa vibayaaaaaaaa
 
kama sikuelewi vile ...... mtoa mada umeeleza zaidi hisia zako as if wote tunajua kuhusiana na maandamano yenu uwe balanced eleza vizuri
 
:llama:Jamani wamepata barua toka ikulu.Siku wakienda kukutana na Rais wataongelea suala la kupanda malipo ya umeme na katiba pia itajadiliwa..Wajue hoja za kuonana na Rais zilianzishwa na Chama kinachowapeleka jambajamba mafisadi wa wasio na uchungu na nchi hii.KAFU wamefuata mkumbo na Hamad R aliyekuwa kimbelembele bungeni kukandya Chadema na kukisifia kafu kaukalia:lol:..Alienda ikulu:behindsofa: Pai..Jamani sikio la kufa halisikii Daw:alien:a..Chadema ndicho chenye masimamo na watu wanaelewa.Hivi NCCR wakiandama, Polisi watakaa vikao kujadili ulinzi kweli:hat:??? maana watu wenyewe wanne
A%20S%20embarassed.gif
.mh...nipisheni nipite
A%20S%20465.gif
 
Maandamano hayawezi kuwasaidia wajifunze kutoka kwa Chadema kama yamewasaidia.
Maandamano yanasaidia, pia hata CDM yametusaidia sana but cha kujifunza hawa NCCR ni kwamba maandamano yoyote yale yanahitaji influence kwa umma, sasa wenyewe NCCR hawana tena influence kwa umma bkoz kafulila kashaondoka nayo.
 
kafulilla jembe.......................mwambieni machalli
'ameona umuhimu wa kafulila?" hakuna nccr bila kafulila
 
ngoja tusubirie tuone

vipi kwani imekuwaje wakaahirisha maandamano, me sijasikiliza radio wala kuona tv siku ya tatu sasa naomba mnijuze.
 
hiyo ndo hasara za kukurupukia mambo, kwa hakika viongozi wa NCCR walikurupuka kuleta hoja ya maandamano........
lakini hii inatokana na tabia ya vyama vyetu vya siasa kuigaiga mambo, kama unataka kupata political influence basi njoo na kitu kipya na sio kitu kilichofanywa na vyama vingine... kama unabisha angalia fukuza ya CUF na NCCR inavyowacost na reaction wanayoipata toka kwa wanachama wao,,,,, vyama vyetu vya upinzania kama vina nia ya kweli ya kwenda ikulu basi vijipange upya na kuja na sera mbadala na si kukurupukia vitu tuuuu...
 
Back
Top Bottom