WatakaopitIsha bajeti ya umeme walaaniwe

Malunde-Malundi

JF-Expert Member
Jan 10, 2008
1,288
130
yes walaaniwe, serikali haipo na haina aibu kama ipo hadi siku ya budget ni blackout. Jamani wataopitisha na mikofi na usanii binafsi nitashiriki washindwe na laana hii nasema itawaumbua na wataumbuka
 
Naunga mkono hoja bajeti ya wizara ya nishati isipite tafadhali magamba mpo

Na hakika tunaweza tukaingia kwenye HISTORIA kuwa waziri akapoteza shilingi kupitia wabunge.Nilishatuma dua langu,na hakika mpaka sasa kupitia michango ya wabunge waliopita naona majibu yangu yanapatikana.[Bofya hapa] uone duwa langu kabla Hotuba ya Waziri wa nishati kutolewa siku ya IJUMAA.

Sooon and very sooon we are going to seee..the............................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Magamba kama kawaida yao ya naunga mkono hoja 100% na ndiyoooo!watapitisha tu!Mungu saidia hawa wajinga wasiojua walitendalo
 
Back
Top Bottom