Mzee wa EAC yadaiwa afa baada ya purukushani na Polisi akidai haki yake

Malunde-Malundi

JF-Expert Member
Jan 10, 2008
1,288
130
Wajumbe hii ilikuwa taarifa ya habari ya leo ITV; wameonyesha jinsi ambavyo serikali yetu inajali wazee wake wa tangu enzi hizo; mpaka sasa imefikia mzee kafariki kwa stroke wakati akifukuzwa na gali lenye upupu

Kweli wazee wale wanachodai nakumbuka waliahidiwa wakati Awamu ya nne iinaingia 2005; wakatulia ilikuwaje? Nashangaa sana je hawa wanaweza kuwa ndio watakaomwangusha Mheshimiwa sana anayepiga kampeni na familia yake tu?

Je kuna haja kutumia nguvu kiasi kile kwa wazee ambao hakika wamejichokea namna ile? Naona tunajichumia laana zaidi kama taifa kweli

RIP EAC old worker; God will put you in good place Amen
 
Kwa kweli ni hatari tupu - na wote tunaelekea huko kwenye uzee, kwa hiyo hii ni vita yetu sote.
 
Du hii si habari njema hata kidogo...kwanini raia afe akidai haki yake (kama ipo)?
 
Dah poleni sana wafiwa na wapigania haki wote.................kw amliobaki msikate tamaa kudai haki zenu
 
wajumbe hii ilikuwa taarifa ya habari ya leo itv; wameonyesha jinsi ambavyo serikali yetu inajali wazee wake wa tangu enzi hizo; mpaka sasa imefikia mzee kafariki kwa stroke wakati akifukuzwa na gali lenye upupu

kweli wazee wale wanachodai nakumbuka waliahidiwa wakati awamu ya nne iinaingia 2005; wakatulia ilikuwaje? Nashangaa sana je hawa wanaweza kuwa ndio watakaomwangusha mheshimiwa sana anayepiga kampeni na familia yake tu?

Je kuna haja kutumia nguvu kiasi kile kwa wazee ambao hakika wamejichokea namna ile? Naona tunajichumia laana zaidi kama taifa kweli

rip eac old worker; god will put you in good place amen

hivi si ndio wazeee hawa hawa aliwaita pale diamond mei 2010 wakati anataka kumbwatukia mgaya na tucta. Ama kweli ccm inajua kuwafanya bainadamua kama karai. Karai ndio kifaa muhimu kuliko vyote wakatia wa ujenzi wa nyumba au ghorofa. Lakini marea tu baada ya ujenzi kukamilika, nyumba kupakwa rangi na maua kupandwa kuzunguka uzio, karai hugeuka uchafu na haina tena nafasi katika nyumba/ghorofa husika. Mara wazee wa nchi wameshagareuka karai?
 
maskini,na kwenye picha za kampeni kuna mzee JK kapiga naye picha anasema "anajali sana wazee"?
ni wazee wapi hao?
 
RIP Mzee. Lakini wakuu, hawa wazee wanatakiwa wawe mstari wa mbele katika MAGEUZI, lakn hawataki kuelewa-sjui sheikh yahya.....!:mmph:
 
R.I.P wazee wetu,vilio na majonzi yenu hakika hayataishia bure kwani naamini kuwa mtafutwa machozi yenu na kusahau yote.
Mungu azidi kuwapa nguvu zaidi waliobaki.

Wajumbe hii ilikuwa taarifa ya habari ya leo ITV; wameonyesha jinsi ambavyo serikali yetu inajali wazee wake wa tangu enzi hizo; mpaka sasa imefikia mzee kafariki kwa stroke wakati akifukuzwa na gali lenye upupu

Kweli wazee wale wanachodai nakumbuka waliahidiwa wakati Awamu ya nne iinaingia 2005; wakatulia ilikuwaje? Nashangaa sana je hawa wanaweza kuwa ndio watakaomwangusha Mheshimiwa sana anayepiga kampeni na familia yake tu?

Je kuna haja kutumia nguvu kiasi kile kwa wazee ambao hakika wamejichokea namna ile? Naona tunajichumia laana zaidi kama taifa kweli

RIP EAC old worker; God will put you in good place Amen
 
Kwa kweli ni hatari tupu - na wote tunaelekea huko kwenye uzee, kwa hiyo hii ni vita yetu sote.

Hivi wale jamaa wa Mwalimu Nyerere Foundation and Joseph Warioba wao siyo wazee and they should come upfront kushinikiza serikali iwalipe hawa wazee?
 
maskini,na kwenye picha za kampeni kuna mzee JK kapiga naye picha anasema "anajali sana wazee"?
ni wazee wapi hao?

Speaker usifikiri kila kinachosemwa sasa ni kweli huko ni kutafuta kura na mungu amewaumbua !
 
Back
Top Bottom