HRM ni Beki 5 anayefunga goli lake, na wengine wapo- Siasa za TZ

Malunde-Malundi

JF-Expert Member
Jan 10, 2008
1,288
130
Hi wajumbe, nimetafakari kufananisha wachezaji wa mpira namba tano ambaye kazi yake kulinda, ni pale ambapo bila kujua hugeuka na kuanza kushambulia goli lake inakuwaje, nimepata watu wachache ktk hili, wa kwanza anayejifunga kwa sasa yupo Hamad Rashid, bila kujua anaishambulia chadema na sasa anaona kama ndio chama dawala bila kujua anajizika na kuizika CUF na hii inaweza kuthibitishwa na mambo ya Tanga juzi ambapo alipoanza mambo hayo watu wakaanza kuhoji mbona chadema sio chama tawala cha nini wakagaili wengine wakaondoka maana walikosa mbadala wa ccm. Pia wapo wanasiasa wengi huwa wanashindwa kuelewa wako upande gani matokeo hujifunga golini kwao na kupoteza uanamichezo wao. Wapo ambao wanajifunga wengine kama vile JK, Makamba, Tambwe, UVCCM nk. Pia wapo ambao huwa hawajifungi ila husaidia timu pinzani nao ni Zitto, RA,Lowassa etc. Nimejaribu kunyambulisha walau kwa uchache ila siasa bila kujijua unakuwa bua na kufuata upepo
 
Back
Top Bottom