Teh teh teh,Kweli wewe Rais wangu, ila ulipatikana kwa wizi wa kura,mwizi ni mwizi tu

Malunde-Malundi

JF-Expert Member
Jan 10, 2008
1,288
130
FACT;

Kweli wewe ni rais wangu ila ulipatikana kwa wizi wa kura, na mwizi ni mwizi tu hata iweje

Du ukweli unauma sio, tetetetetete safi sana, call a spade a spade
 
Chadema:boink:JK,
myself :frusty: :smash:

2015 tusikubali hili, mwisho wa kuibiwa, NEC mpya na huru, katiba mpya tunataka, tusiwe kama hawa, unapigwa changa la macho tunacheka:caked:
 
MwanaJF President,We unasema 2015???????????????? Noooooo Nooooooo Nooooo Nooo!!!!!!!!!!!!!! It is Now!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Nchi hii siyo ya mkwere na wanasisiemu wanaodaiwa kuwa milioni tano!!!!!!!!!!!!!! Watanzani sasa ni zaidi ya milioni 40!!!!!!!!!! What is 5m au 12.5%?????????????????Afadhali kipindi cha 2005-2010 mkwere alikuwa anaficha makucha yake; awamu hii ambayo ni ya mwisho kwake atakuwa mbaya kuliko-kwake na mafisad wenzake agenda yao kuu ni LOOTING!!!!!!!!!_LOOTING!!!!!!!!!!!!_LOOTING!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Thanks, wote ni wanharakati, i want it to be even now, mapambano yanaendelea, kanyaga twende, kila mtu apige kampeni continuously,
we are together
 
Back
Top Bottom