Search results

  1. galagaja mtoto

    Ngazi za Mishahara: PGSS 9 & PGSS 10

    jamanii PGSS 9 na PGSS 10 ni mshahara gani?
  2. galagaja mtoto

    ajira hizi hapa . angalia secretaiate ya ajira tar 26/6/2012 usiogope omba tu

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA Kumb. Na EA.7/96/01/B/183 29 Juni, 2012 1 TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma anakaribisha maombi ya Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza...
  3. galagaja mtoto

    secretariate ya ajira ajira nyingine hizi.leo tar 29/6/2012

    THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA PRESIDENT’S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT Ref. Na EA.7/96/01/B/182 29 1 th June, 2012 VACANCIES ANNOUNCEMENT The Public Service Recruitment Secretariat was established in accordance with section No.29 (1) of the Public Service...
  4. galagaja mtoto

    walioomba uafisa tarafa someni hapa

    mi nimenukuu tu. hOtuba ya Mh Hawa Ghasia "Mheshimiwa Spika, kujenga uwezo wa Sekretarieti za Mikoa ni pamoja na kuimarisha utendaji wa Maafisa Tarafa. Mkakati uliopo ni kuhakikisha kuwa Maafisa Tarafa wanapata vitendea kazi hususan vyombo vya usafiri na ofisi. Aidha, nafasi wazi za Maafisa...
  5. galagaja mtoto

    part time teacherS ARE available (dodoma town)

    wanapatikana popote utakapowahitaji including in schools. for primary and secondary schools. teaching english, swahili, history, civics, geography. ukiwahitaji ni PM.
  6. galagaja mtoto

    inakuweje secretariat ya ajira

    mbona kazi za karibuni wanaanza kuita intaview kabla ya zile za mwanzo? mfano wale wakala wa vipimo ilikuja baada ya state atorney chamber vacancy, au ndo wameshaitana wenyewe? na maaaaafisa tarafa je? nisaidieni nahisi kuingia choo kisicho jinsia yangu
  7. galagaja mtoto

    Ujasiriamali 1.1

    niwashukuru wadau walioniunga mkono katika kuipitia thread yangu ya somo la mjasiriamali mdogo na wa kati na kuniomba niendelee kutoa somo hili ambalo wengi hulitafuta kwa gharama kubwa lakini huwa hawalipati ipasavyo.leo nataka nianze na ile amri ya kwanza ya ujasiriamali ambayo ubunifu...
  8. galagaja mtoto

    Kwa wateule walioitwa kazini serikalini

    kwanza niwapongeze wote mliopata nafasi ya kufunga ndoa na serikali. hongereni sana pia nendeni mkalitumikie vyema taifa letu na watu wake. ombi langu ni kuwa hebu tengeni dakika chache tu mrudi humu jamvini na kuwapa somo wale waliobaki huku wakiwa magalagaja wa nafasi za kazi. wapeni mbinu...
  9. galagaja mtoto

    Ujasiriamali 1

    Ndugu dhangu nimeona tushirikiane pamoja mkate huu kwa wale wenye kutafuta nini wafanye wanapotaka kuwa wajathiriamali, hidhi ni chache tu na jamvi likiruhuthu nitawaletea masomo haya kwa kina kupitia hapa na pale nitakophitajika kwani thioni thababu ya kukaa kimya na ujudhi nilionao wakati...
  10. galagaja mtoto

    Nafasi za kazi tar 8 june 2012

    WENYE SIFA ZENU HAYA TENA MI SINAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA! Job Title: Human Resources & Administrative Officer II Category: HR & Training Location: Arusha, Tanzania Description: Duties & Responsibilities •Ensuring that incoming and outgoing mail are properly handled by the registry...
  11. galagaja mtoto

    Mjasiri amali (ubunifu na mpango kazi wa biashara)

    niwashukuru wadau walioniunga mkono katika kuipitia thread yangu ya somo la mjasiriamali mdogo na wa kati na kuniomba niendelee kutoa somo hili ambalo wengi hulitafuta kwa gharama kubwa lakini huwa hawalipati ipasavyo.leo nataka nianze na ile amri ya kwanza ya ujasiriamali ambayo ubunifu...
  12. galagaja mtoto

    Somo kwa mjasiriamali mchanga na wa kati. Hatau ya 1

    Ndugu dhangu nimeona tushirikiane pamoja mkate huu kwa wale wenye kutafuta nini wafanye wanapotaka kuwa wajathiriamali, hidhi ni chache tu na jamvi likiruhuthu nitawaletea masomo haya kwa kina kupitia hapa na pale nitakophitajika kwani thioni thababu ya kukaa kimya na ujudhi nilionao wakati...
  13. galagaja mtoto

    Wapendwa wizara ya fedha wanataka watu, tar 5/6/2012

    wenye vigezo toklezeeni hapooooooo, mi sinaaaaaaaaaaaaaaaaaa! THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA PRESIDENT’S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT Ref. Na EA.7/96/01/B/148 5 VACANCIES ANNOUNCEMENT th June, 2012 The Public Service Recruitment Secretariat was established in accordance...
  14. galagaja mtoto

    Hebu kumbuka tulikotoka, bongo fleva ni mtoto wa jana

    TUNDA Sheria na mila zetu, utokapo utotoni watambulika na watu, waingizwa ukubwani, waitwa mzima mtu, kisa ndevu kidevuni, kila nikitupa jiwe tunda hili nalikosa. Kundi kubwa kijijini, wengi wao ni vijana, pinde ziko mkononi, visu tulinoa jana, twaelekea porini, kwenda kusaka...
  15. galagaja mtoto

    Kusomesha na kufundisha nani yu sahihi?

    Wataalam wa lugha hasa wale wanaoketi mbele ya tbc juzi waliniumiza kichwa kwa kusema kuwa neno ''KUFUNDISHA'' lina maana kutoa elimu ya masuala yaufundi(mchundo) lakini yule anayesimama mbele ya darasa kwa shule ya msingi/sekondari inasemwa kuwa ''ANASOMESHA''. Sasa wadau wangu hebu niwekeni...
  16. galagaja mtoto

    Kwa wanaofahamu tu!!!

    Hivi hawa secreteriat ya ajira wanatumia njia zipi/kuita kwenye intavyu? nina wasiwasi nisaidieni. kwa wanaofahamu nisameheni kwa usumbufu wangu.
  17. galagaja mtoto

    Maafisa tarafa

    nauliza wana jf wenye taarifa zozote kuhusu ajira za maafisa tarafa vp wameshaita intavyu. au ndowamepita bila kupingwa? nisaidieni kwa taarifa maana sina ninaloelewa.
Back
Top Bottom