galagaja mtoto
Member
- May 24, 2012
- 84
- 33
jamanii PGSS 9 na PGSS 10 ni mshahara gani?
jamanii PGSS 9 na PGSS 10 ni mshahara gani?
Umejitahidi sana, hivyo ndivyo inavyotakiwa. swali likikushinda unalibadilisha mpaka lifae kujibiwa kwa majibu uliyonayo. Very good. The answer given is true but not correctPGSS au PSS. G?
PSS. G ni parliamentary Service Salary Scale G ambayo ni kuanzia sh. mil 1 mpaka mil. 1.3
Umejitahidi sana, hivyo ndivyo inavyotakiwa. swali likikushinda unalibadilisha mpaka lifae kujibiwa kwa majibu uliyonayo. Very good. The answer given is true but not correct
Vita subira kidogo, mtaalamu yuko semina, atarejea baada ya muda mfupi.
Ni Parastatal Government Salary Scale 9 ni kama 1.2m hivi na 10 ni kama 1.4m hivi ila kwa ongezeko la Julai mwaka huu yaweza kuwa zaidi.
Vita subira kidogo, mtaalamu yuko semina, atarejea baada ya muda mfupi.
Sasa wewe jibu lako liko wapi?
Wewe hata physics ya Olevel haijakusaidia, Mtu hatakiwi kulipwa kwa kiwango chake cha elimu bali kwa kuwango cha kazi aliyofanya ama kuzalisha. Walimu hatujadai ongezeko la malipo kwa kigezo cha elimu bali kwa mchango wetu mkubwa wa kufuta ujinga kama ulionao wewe. Mwalimu Kupotoshwa mwanafunzi ni kinyume na maadili ya kazi yetu pia kinyume na mapenzi ya Mungu na mwishowe haiendani na utu wa kitanzania. Mtoto wa mwenzio ni wako! Tafakari na chukua hatuaWe mwalimu wa sekondari kiboko! Kwa majibu haya kweli wanafunzi huwa wanakuelewa au ndo walewale wanaosaidia serikali kuzamisha boti ya kulikomboa taifa kielimu? Afu hapohapo mnalalamika maslahi madogo.....kazi kwelikweli!
kUmBe wAlImU wA sEkOnDaRi Ni KiBoKo?au ni huyo jamaa ndio anakufanya utukane walimu wetu?acha habari za kudharau watu kwa taaluma zao wewe.We mwalimu wa sekondari kiboko! Kwa majibu haya kweli wanafunzi huwa wanakuelewa au ndo walewale wanaosaidia serikali kuzamisha boti ya kulikomboa taifa kielimu? Afu hapohapo mnalalamika maslahi madogo.....kazi kwelikweli!
Parastatal General
Salary Scale. Ongezeko la Julai haliwahusu hawa, lile ni la watumishi wa
umma.