Ujasiriamali 1

May 24, 2012
84
33
Ndugu dhangu nimeona tushirikiane pamoja mkate huu kwa wale wenye kutafuta nini wafanye wanapotaka kuwa wajathiriamali, hidhi ni chache tu na jamvi likiruhuthu nitawaletea masomo haya kwa kina kupitia hapa na pale nitakophitajika kwani thioni thababu ya kukaa kimya na ujudhi nilionao wakati kumbe wengine wanauhitaji.Kwa kuandhia tu kumbuka kuwa hivyo vilivyokudhunguka hapo ulipo vyawedha kutumika kama mtaji wako. Fuatilia kwa makini thana nitakapoandha kufafanua moja juu lingine katika muhtathari wa mambo haya yafuatayo; ongodhana na mimi………..Uone utawedhaje kufanikiwa

  • Ubunifu (andaa mpango wa biashara yako)
  • kujituma
  • fanya kadhi mwenyewe(uthiajiri mtu kwandha)
  • tundha mahethabu vidhuri
  • uvumilivu
  • fanya kazi kwa muda mrefu
  • kubali hathara penye faida
  • ujathiri(uthiogope)
  • kubali changammoto(uthidharau)
  • pigania kuongedha mtaji inapobidi
  • heshimu wateja wako
  • tanua soko lako
  • fanya tathmini ya biashara yako kila wakati na ukibaini maendeleo chanya endelea nayo, kama ni hathi andha kufikiri upya juu ya mpango wako na uendeledhaji wake.
“KAMA HUUELEWI UKIMYA WANGU HUWEZI KUELEWA MANENO YANGU”
 
"KAMA HUUELEWI UKIMYA WANGU HUWEZI KUELEWA MANENO YANGU"

Swahiba Kiswahili ulichotumia sio fasaha, sasa ukiwa mjasiriamali halafu unaandika tangazo lina Kiswahili kama chako unaweza kukosa mteja. Badala ya neno tundha ungesema "tunza", kwandha ungesema "kwanza",uthiajiri ungesema "usiajiri", uthiogope ungesema "usiogope" au wewe Mpare mwenzetu??
 
swahiba kiswahili ulichotumia sio fasaha, sasa ukiwa mjasiriamali halafu unaandika tangazo lina kiswahili kama chako unaweza kukosa mteja. Badala ya neno tundha ungesema "tunza", kwandha ungesema "kwanza",uthiajiri ungesema "usiajiri", uthiogope ungesema "usiogope" au wewe mpare mwenzetu??

uthijali ndugu yangu nimekuthikia na nitajirekebisha kwenye thomo linalofuata
 
Sijui kama kithembe nacho kinaingia ktk kuandika, najua kinasumbua ktk kutamka maneno fulani lakini sio kuandika. Somo lako litakosa hadhi kwa sababu limeletwa kihuni. Hapa ni jukwaa la watu wanaomaanisha mkuu.

Unisamehe kama nimekukwaza.

Nimeipenda sana hii post yako Kamanda Malila!
Lugha ndio imeishusha kweli!
 
Sure , the Guy is not even serious, tuko makini kujua nini unatueleza kuhusu ujasiriamali, lakini too bad aproach yako haimwingii mtu mwenye busara na kutaka kuelewa somo kwa ujumla, Jipange mda unao japo unakwenda!
 
thawa tumekuthikia uthauri wako mthuri thana utathaidia watu wengi thana atha wajathiriamali
 
Sijui kama unafanya makusudi au la, lakini kiswahili unachotumia kinafanya somo lako likose mvuto wa kusoma. Kwa mtindo huu hata ujasiriamali wenyewe si utakushinda sasa!! You need to be serious on a serios things otherwise ungeenda kwenye jukwaa la jokes.
 
Lkn kuna kithembe cha kuandika mi simlaumu Malagaja mtoto. Mi mwalimu nilikutana na mwanafunzi mmoja akawa ameniandikia "pichipichi". Sikufurahi, nilipomwita nimkamtaka anisomee alichoandika alisoma kwa kutamka vizuri neno hilo "pikipiki". Niliona utani kazini nikamtaka tena anisomee akasoma pikipiki lkn nilipomtaka aniandikie akaandika tena ''pichipichi". Wanafunzi wenzake pamoja na walimu wengine walinishusha hasira kuwwa huyo tatizo ni mkono hutumia "ch" pahala pa "k". Cha msingi ni kumwelewa huyu jamaa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom