Maafisa tarafa

May 24, 2012
84
33
nauliza wana jf wenye taarifa zozote kuhusu ajira za maafisa tarafa vp wameshaita intavyu. au ndowamepita bila kupingwa? nisaidieni kwa taarifa maana sina ninaloelewa.
 
lakini naona kama ni mapema sana kwa zile nafasi manake ajira zetu za serikali si mnazijua zilivyo slow motion wadau??????
 
Hamnaga interview , interview ni vyeti vyako ulivyotuma, kama vp we subiri kuitwa kazini.
Kama waalimu na watu wa kilimo, no argument
 
Acheni kupotosha, si mnasemaga serikali haiwajali kuwapa ajira? msubili serikali yenu ya Chadema miaka mia tatu ijayo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom