JAMANI WAPENDWA NA HIZI TUKOSE(KAZI ZAIDI YA 2000 SECREATERIETI YA AJIRA)tarehe 25 www.ajira.go.tz

Safi sana. Ngoja lazima nitatupia. NAFASI 2568 uwezo wa kupata ni mkubwa.
 
yeuwi jumatatu napeleka maombi mungu nisaidie ila zinahusu nini mana kasimu kangu kamegomea njian and magazeten hawajatoa? Kama kuna mtu mwenye maelezo zaidi anijuze.
 
Ngoja tujaribu ajira ngumu sana sasa
yaani kwa nafasi hizi mpya mpya kuanzia miaka 5 iliyopita
ukiuliza mwenzangu hii nafasi umepataje
mara mjomba kaniunganishia ,sijui anko anajuana na nani
lol sijui tunaelekea wapi..kama sio kukaa ndani na CV's zetu..
Sasa imebakia kupeana michongo ya kuwa Entrepreneur tu hakuna kingine
 
Ubarikiwe mkuu lol!!. Na hizi nazo tukikosa itabidi tukasafishe nyota kwa waganga maana kila sekta wamegusa. Ila tutawapoteza members wengi sana hapa JF kutokana na majukumu kuongezeka. Mungu tubariki jobless.
 
Hapo tena tukkosa 2kaoge maj ya bahar

hivi UNAJUA kuna maelfu ya watu wanahizo qualfication pia na unakuta fan yako mayb zmetoka nafas 45 na wenye vgezo mayb 700 ? Cha msing aply then muombe mungu
 
Duh nimeangalia kazi zote hakuna inayoendana na fani yangu wala inayokaribia,mie hapo sina hata pa kujaribu,ngoja nirudi kulala
 
Back
Top Bottom