Search results

  1. B

    PICHA: Sherehe za CHADEMA diaspora

    Meza kuu M'kiti wa Wanawake Mhe. Maryam Khamis na Baybe Mgaza katibu mwenezi wa chadema mhe.Husseni kauzera maarufu kama DJ RoKatibu mwenyekiti wa upande wa wanawake Mhe. Baby Mgaza M'kiti wa tawi la Washington DC, Maryland na Virginia (DMV) mwana Cosmas Wambura Aliekuwa katibu wa uongozi...
  2. B

    M4C sio ya Dr. Slaa wala Mbowe ni ya...

    M4C SIO YA DR. SLAA WALA MH. MBOWE NI YA... Tatizo MAGAMBA wanafikiri M4C ni Mh. Mbowe AU Dr. Slaa... FYI. MAGAMBA, M4C ni wananchi walio choshwa na sera za MAGAMBA, na tunataka mabadiriko.... NI MABADILIKO TU. HAYA MABADILIKO HAYAZUILIKI= CHANGE IS INEVITABLE. Nasubiri ratiba ya M4C kwani...
  3. B

    CHADEMA na watanzania wote washington dc, maryland, virginia kuaga 2012 pamoja

    CHADEMA na watanzania wote Washington DC, Maryland, Virginia na east coast kuaga 2012 pamoja. Ni kukutana kwa ajili ya holiday season, kujadili yanayo jili nyumbani na kwenye mazingira yetu. Mtu yeyote anakaribishwa bila kujali itikadi wala imani yake. CHADEMA HAIBAGUI, IPO KWA KUTENGENEZA...
  4. B

    Chadema: Magamba watatu vunja vunja bila royalty

    CHADEMA: MAGAMBA WATATU VUNJA VUNJA BILA ROYALTY: MAKAMANDA WA CHADEMA: Tuwe waangarifu sana, tushikamane, tuwe royal kwa chama chenu, tusikubali kurubuniwa. Huu ni wakati mgumu kuliko wote, wakati ambao MAGAMBA wanatumia kila njia kutu vunja vunja " KUTU BREAK". Moto wa M4C ni mkali na...
  5. B

    Kama hawa walishiriki uchaguzi ndani ya CCM, basi katiba imevunjwa!

    CCM NA JK WAZIVUNJA KATIBA ZA NCHI NA CHAMA , RAIA WA MAREKANI WAPIGA KURA DODOMA. MAJINA HAYA HAPA RAIA WA MAREKANI NA UINGEREZA WASHIRIKI MKUTANO WA CCM DODOMA, WATUMIWA NAULI KUSHIRIKI MKUTANO NA KUPIGA KURA. ZILITUMWA TICKETS 40 KWA MKOA WA DIASPORA, UINGEREZA, CHINA, INDIA MAREKANI N.K...
  6. B

    Mauaji ya mwangosi, wanaendelea kutusikiliza...

    HAWA WAMEANZA KUTUSIKILIZA, NA BADO TUNAMIPANGO KABAMBE YA KUIJURISHA DUNIA http://www.ippmedia.com/frontend/index.php?l=46080 United Nations News Centre - UNESCO chief denounces killing of Tanzanian journalist NENDA CNN iReport KUKOMENT, KUSHARE NA RECOMEND HII HABARI YA MWANGOSIPetition...
  7. B

    Sahihi yako ni muhimu sana hapa; tuijurishe dunia mauaji tanzania...picha

    SAHIHI YAKO NI MUHIMU SANA HAPA; MAKAMANDA HII NI MUHIMU. Tafadhari fuata LINK hapo chini. Andika jina lako email na anuani yako. Kwa ambaye yupo Tanzania zip code weka 0000 na CLICK outside USA utapata option ya kuingiza nchi. Lengo ni kuijurisha dunia kuhusiana na UKIUKWAJI WA HAKI ZA...
  8. B

    Zinahitajika saini 99,970 zaidi kuijurisha dunia mauaji Tanzania

    Tafadhari fuata LINK hapo chini. Andika jina lako email na anuani yako. Kwa ambaye yupo Tanzania zip code weka 0000. Petition | Government of Tanzania: Stop police violence against peaceful demonstrators and journalists | Change.org Lengo ni kuijurisha dunia kuhusiana na UKIUKWAJI WA HAKI ZA...
  9. B

    Maandamano kupinga uuwaji wa polis Tanzania kufanyika Washington DC. Marekani

    MAANDAMANO KUPINGA MAUWAJI YA KINYAMA YANAYO FANYWA NA JESHI LA POLISI TANZANIA KUFANYIKA WASHINGTON DC. MAREKANI Mandamano ya kupinga mauwaji ya kinyama yanayofanywa na Jeshi la Polisi Nchini Tanzania, yatafanyika Washington DC. Baadhi ya waTanzania waishio Maryland, District of Columbia na...
  10. B

    Samwel Sitta akiwa TAPANA

    Mheshimiwa ,tulifikiri ni mtu makini kumbe na wewe una matatizo ya akili.Unajua ulishawahi kuwa mwenyekiti wa TANAPA?.wewe umehusika moja kwa moja kuuza wanyama,na kutoa leseni za kuua wanyama eti kwa akili yako ni kukuza uchumi wa nchi,Leo unakuja na mawazo yako kuwa Chadema hawezi kuongoza...
  11. B

    Hatutaenda kwenye ufunguzi wa CCM Washington DC tarehe 25 mwezi huu.

    WANAHARAKATI NA WAPENDA MABADILIKO WAMESEMA HAWATAENDA KWENYE UFUNGUZI WA TAWI.WAKATI WATOTO WAO WANASOMA HAPA USA KWA PESA ZA SERIKALI.INGEKUWA BORA KUSAIDIA WATOTO WASIO NA UWEZO WA KWENDA SHULE NA KUPATA CHAKULA. NA SIO KULETA PESA HUKU USA KWA AJILI YA KUJAZA WATU ,PIA KUWALIPIA...
  12. B

    CCM makao makuu wapeleka pesa nyingi Washington DC ili kuhonga watu

    Tofauti na vyama vingine na wanachama wake uchangisha pesa kupeleka nyumabni kwa ajili ya shughuli za uchumi .sasa hivi magamba wameleta pesa nyingi ili kufanikisha ufunguzi wa tawi lao.yaani kuonyesha kuwa kuna watu wengi.watu wamelipiwa tiketi za ndege na malazi wakiwa hapa washington dc.sasa...
  13. B

    Kwanini tawi la CHADEMA USA?

    -Kutoa idea chanya kwa CHADEMA, mfano, blogs, security ya viongoz (nyumba zao kua na camera), kutengeneza ushahidi mikutanoni (kila mkutano uweunarekodiwa manake magamba wakishindwa wanatupeleka mahakamani kuwa tulicheza faulo kwenye uchaguzi-Ulinzi kwa Viongozi wanavyo kuwa matembezini na...
  14. B

    Show love kwa Dr. Ulimboka kwa kususia ibada ya mchungaji Gwajima

    MCHUNGAJI NGWAJIMA TUNAOMBA MAELEZO Ni kweli kuna mtu alikuja kutubu na kueleza dhambi zake kwako na ukamtosa kwa kumpeleka polisi? iweje aje kanisani kwako na si kwingine au ndio uhusiano ulionao na chama na serikali, maana hata mkutano wa jangwani (cdm square) wa kuijibu chadema ni vyombo...
  15. B

    Dr. Slaa atahojiwa na Redio maarufu ya Demokrasia Jijini Washington DC [WPFW RADIO]

    Ndugu zangu mapambano kila kona mambo yanakwenda vizuri sana huku nje.Sasa tumeanza kukandamiza kwenye vyombo vya habari huku nje sasa hivi.Hii redio ni maarufu sana inayozungumzia siasa hapa Washington DC. Inasikika karibu nusu ya United state of americaW ale walikuwa wananenepa kwa...
  16. B

    Usilaumu Madactari Ni "ETHICAL DILEMMA"

    DOCTORS' ETHICAL DILEMA IN TANZANIA; To my understanding Ethics involve doing "good" and causing no harm to yourself, your family, friends and others. Ethical dilemma can be made resulting in neither choice being a "right or wrong" decision. There is no "RIGHT" solution to an ethical dilemma...
  17. B

    Janjaweed wa serikali ya ccm

    Tanzania imefika sehemu ambao lazima tuiadabishe serikali hii.Tukikaa kimya janjaweed watakuja kwako au ndugu yako.Tushirikiane wote kukemea na kuwatenga hao janjaweed na serikali ya ccm.Matukio yaliyopita ni mengi na kwa hakika inaonyesha serikli kuwa na mkono wake.Sasa tusikae kimya hawa...
  18. B

    Mchungaji Msigwa afunguka bungeni; uchumi hauombewi bali wazinzi

    https://www.facebook.com/chademadiaspora MCHUNGAJI MSIGWA, MBUNGE IRINGA MJINI AFUNGUKA BUNGENI-UWOGA, NGONJERA, MANENO YA USWAHILI, KUJIPENDEKEZA,UNAFIKI VINAHARIBU TAIFA LETU. AKILI YEYE MCHUNGAJI HAOMBEI UCHUMI- UCHUMI UNAKWENDA KWA PRINCIPLES SIO MAOMBI. WANAO OMBEWA NI WAZINZI, WANAO...
  19. B

    Karibu chadema diaspora facebook page "like" it please!

    https://www.facebook.com/chademadiaspora KARIBU CHADEMA DIASPORA FACEBOOK PAGE "LIKE" IT PLEASE! ​ https://www.facebook.com/chademadiaspora KARIBU CHADEMA DIASPORA FACEBOOK PAGE "LIKE" IT PLEASE!
  20. B

    Chadema diaspora facebook page

    https://www.facebook.com/chademadiaspora TAFADHARI NENDA "LIKE" CHADEMA DIASPOR PAGE ON FACEBOOK. https://www.facebook.com/chademadiaspora TAFADHARI NENDA "LIKE" CHADEMA DIASPOR PAGE ON FACEBOOK.
Back
Top Bottom