Dr. Slaa atahojiwa na Redio maarufu ya Demokrasia Jijini Washington DC [WPFW RADIO]

baajun

Senior Member
May 19, 2012
199
6
Ndugu zangu mapambano kila kona mambo yanakwenda vizuri sana huku nje.Sasa tumeanza kukandamiza kwenye vyombo vya habari huku nje sasa hivi.Hii redio ni maarufu sana inayozungumzia siasa hapa Washington DC.

Inasikika karibu nusu ya United state of americaW

ale walikuwa wananenepa kwa misaada kutoka marekani sasa wakae chonjo.maana hii sio mchezo inaitwa "OPERATION KANDAMIZA".

Nipo kwenye ofisi zao hapa tuna kamilisha mikakati,maojiana yatakuwa kwa kiingereza ili watu wote Wajue Tanzania ile sio hii ya sasa hivi.Nitawapa ni siku gani itakuwa week hii na saa ngapi.kwa wale wenye simu za kisasa wataweza kusikia vizuri haya maojiano.yatakuwa live.Hatulali mpaka kieleweke.

Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee,powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
Hakika hiyo ni kazi moja nzuri sana!! tuwekee kalink tuweze kupata kitu live kutoka USA wakati wa mahojiano!!
 
Ndugu zangu mapambano kila kona mambo yanakwenda vizuri sana huku nje.Sasa tumeanza kukandamiza kwenye vyombo vya habari huku nje sasa hivi.Hii redio ni maarufu sana inayozungumzia siasa hapa Washington DC.

Inasikika karibu nusu ya United state of americaW

ale walikuwa wananenepa kwa misaada kutoka marekani sasa wakae chonjo.maana hii sio mchezo inaitwa "OPERATION KANDAMIZA".

Nipo kwenye ofisi zao hapa tuna kamilisha mikakati,maojiana yatakuwa kwa kiingereza ili watu wote Wajue Tanzania ile sio hii ya sasa hivi.Nitawapa ni siku gani itakuwa week hii na saa ngapi.kwa wale wenye simu za kisasa wataweza kusikia vizuri haya maojiano.yatakuwa live.Hatulali mpaka kieleweke.

Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee,powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr

Safi sana mkuu tunakutegemea kwa updates.
 
Hapo mkuu umefanya l maana.Naijua sana hii Redio ni ya Demokrasia hapo washington DC.Ni public Radio.Inaongea kila kitu bila ya uwoga kwa kweli kama ataojiwa hapo basi kazi ipo.kama kuna mtu anabisha a google ataona kuna website yao ndio utaona husiwe tu mbishi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom