PICHA: Sherehe za CHADEMA diaspora

baajun

Senior Member
May 19, 2012
199
6
View attachment 76443Meza kuu
View attachment 76444M'kiti wa Wanawake Mhe. Maryam Khamis na Baybe Mgaza
View attachment 76454katibu mwenezi wa chadema mhe.Husseni kauzera maarufu kama DJ RoView attachment 76446Katibu mwenyekiti wa upande wa wanawake Mhe. Baby Mgaza
View attachment 76447M'kiti wa tawi la Washington DC, Maryland na Virginia (DMV) mwana Cosmas Wambura
View attachment 76448Aliekuwa katibu wa uongozi uliopita Bwa Liberatus Mwang'ombe a.k.a (Bagasa Libe)View attachment 76442Katibu wa Chadema DMV Mhe. Isdori Focus Lamuya
View attachment 76450View attachment 76451View attachment 76452 Viongozi na wapenzi wa CHADEMA

Sherehe hii ilifanyika Maryland, United States of America jana J'mosi tarehe 12/22/2012

Vidieo clips to come...

PEOPLES'.......

Hongereni makamanda nafurahi sana nikiona ukombozi unafanyika kila kona ya dunia ili mradi tuu watz wakihakikisha ukombozi unakuja tena kwa haraka.
 
kwenye high tebo watu watano kwa wajumbe mtu mmoja. kweli sherehe ilifana, hapo chupa mbili za wine na viroba
 
nchi ya watanzania hawatapewa wahuni walioko marekani na kwingineko kisa diaspora

r.i.p cdm -------viva ccm
 
nchi ya watanzania hawatapewa wahuni walioko marekani na kwingineko kisa diaspora

r.i.p cdm -------viva ccm
Hizi ndiyo akili za CCM, wenyewe wanaamini Tanzania ni mali yao. Wanasahau kwamba Tanzania ni ya watanzania na wanachadema ni ni watanzania. Akili fyatu kama zenu CCM alikuwa nazo pia Ghadafi, na mwisho wa siku ndiyo vile wenye nchi walimchinja kama kuku. Kama hamtataka kutoka kwa democrasia basi tutawatoa kwa nguvu.
Hakuna chama wala mtu mwenye hatimiliki ya ardhi ya Tanzania na watu wake. Tanzania ni ya watanzania wote, awe diaspora au katavi, au Singida au kagongwa kule Shinyanga, au Ibumila kule njombe na hata mloganzila, wote wana haki sawa ya kuongoza nchi. So shut up your mouth.
 
Technical knockout ya umilki wa kadi mbili na kila mmoja kudai kuwa na sifa za urais, majimbo ,ukabila zimeimaliza cdm ya rabi!
 
Namuona DJ Ro anawakilisha Chadema...nyomi la kufa mtu vipi CNN hawakuepo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom