Search results

  1. Lekanjobe Kubinika

    Nafasi za kusomea Masomo ya AMO na ADO

    Jamani, wale wataalam wa afya kama Dental Therapists na Clinical Officers wanataka kusoma ADO au AMO mwaka huu wasibweteke kuomba shule Kusoma ADVANCED DIPLOMA. Application zote zipo kupitia website ya NACTE. Naambiwa inaenda hadi July maombi hayo yatatapofungwa. Tafuta kozi unayotaka kutokea...
  2. Lekanjobe Kubinika

    Tanzania tujifunze kutoka kwa majirani zetu kama twataka kuendelea kiuchumi

    Ubabe wa serikali haukuuzi uchumi wa nchi, bali nchi legelege isiyokwenda kijasiliamali hubakia ombaomba na kuwa mtumwa wa kudumu. Serikali kaidi haijifunui upevu wake kwa njia ya kiuchumi bali viongozi wasio adilifu huififisha nchi Nyerere Julius Kambarage Mwalimu alisema mara kadha kwamba...
  3. Lekanjobe Kubinika

    Wafanya biashara kugoma Jijini Mbeya

    Nimepata habari kutoka Mbeya kwamba wafanya biashara Jijini humo wamefunga maduka yao kuonyesha mgomo halisia, jana na leo hata wafanya biashara wadogo walio waoga wamegoma mpaka wakubwa waridhie. Kuna nini huko walioko Jijini Mbeya tujuzeni. Ama ndio vita ya TRA? maana TRA mkoa wa Mbeya na...
  4. Lekanjobe Kubinika

    Hivi Polisi ni chama cha siasa?

    Jana nimeshtuka kusikia kwenye taarifa ya habari ya ITV saa mbili usiku, ikieleza kwamba mapolisi wamepiga marufuku wimbo wa CHADEMA unaoimbwa na wafuasi wake kuhamasishana. Kilichonishangaza zaidi ni uamuzi wa Polisi kupiga marufuku shughuli na harakati za chama cha siasa badala ya wanasiasa...
  5. Lekanjobe Kubinika

    Historia yetu na rai ya kujisahihisha Watanzania

    Sijadili udini hapa, lakini ukitafakari kidogo tu utagundua kwamba waislam hupoteza fursa nyingi zinazopatikana kwa kutumia jazba zisizo na tija. Heri kurudi nyuma kutafakari na kujipanga upya namna ya kuendelea mbele kama kweli kuna lengo lenye maana kwa nchi na watu binafsi. Wakati wa Nyerere...
  6. Lekanjobe Kubinika

    Historia yetu, upotofu wetu na rai ya kujisahihisha

    Sasa mamodi sijaelewa, nimeleta asubuhi mchango wangu na ukatokea na kupotea. Kwa kawaida mnasema kama ni kitendo cha makusudi. labda kichwa kilikuwa kibaya. kwa kuwa bado nadhani mawazo yangu yanafaa kuyatafakari kwa nia njema kabisa na kujengana kwa kuikuza amani ya nchi yetu na ili kujiletea...
  7. Lekanjobe Kubinika

    Learn From Alexander the Great

    Yahoo friends Words to live by, please read to the end. The last wishes of Alexander the Great: On his death bed, Alexander summoned his generals and told them his three ultimate wishes: 1. The best doctors should carry his coffin; 2. The wealth he has accumulated (money, gold, precious...
  8. Lekanjobe Kubinika

    Statement za Polisi

    Ati wanasema
  9. Lekanjobe Kubinika

    Kupata kazi ni kazi!

    Watu says:
  10. Lekanjobe Kubinika

    Alumn fra Kaengesa Seminary Secondary School

    From Yahoo friends
  11. Lekanjobe Kubinika

    Nani kama mama?

    From a yahoo friend A very beautiful msg for all
  12. Lekanjobe Kubinika

    Zawadi ya Birthday kwa mama

    From Yahoofriends MAMA'S BIBLE Four brothers left home for college, and they became successful doctors and lawyers. One evening, they chatted after having dinner together. They discussed the 95th birthday gifts they were able to give their elderly mother who moved to Florida . The first...
  13. Lekanjobe Kubinika

    Have you seen this story?

    From Yahoofriends A little boy died in Brazil after eating MENTOS and drinkingCoca-Cola / PEPSI together. One year before the same accident happened with another boy in Brazil . Please check the experiment that has been done by mixingCoca-Cola (or Coca-Cola Light) with MENTOS So be careful...
  14. Lekanjobe Kubinika

    WIVU wa MWANAMKE

    Kutoka Mtandaoni Yahoo Typical Female JEALOUSY A woman wanted to reach her husband on his mobile phone but discovered that she was out of credit, she instructed her son to use his own phone to pass across an urgent message to his daddy who was on site. After junior had called, he got back to...
  15. Lekanjobe Kubinika

    Mimi sina jibu la haraka, wewe je?

    From Yahoofriends If you were the man, what would you do....? A man was going on a trip and the wife helped him pack his clothes in a bag. When he was about to leave, the wife handed him a box of CONDOMS and said: "Honey, take this with you, in case of temptations". With a broad smile...
  16. Lekanjobe Kubinika

    Umeiona?

    From Yahoofriends Ati Mwenye Nchi amethubutu. Je, ameshindwa? Nchi nzuri Tanzania ili iendelee = watu+ardhi+ siasa safi + uongozi bora
  17. Lekanjobe Kubinika

    Sala ya Moshi na vibwagizo vya viunga vyake

    Source Yahoofriends Mie sijui kama umeiona hiyo samahani. Endelea Sala Kuu: MOSHI: Mungu Onesha Sehemu Hela Iko Viitikio: 1. Hata Ikipungua Mungu Ongeza! (HIMO) 2. Mungu Angalia RAia NGawira Utuhakikishie! (MARANGU) 3...
  18. Lekanjobe Kubinika

    Wapinzani wa Babu wa Samunge

    Kutoka Yahoofriends Haya ni matokeo ya Tiba ya Babu Ambi MCHUNGAJI Mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Ambilikile Masapile ‘Babu Ambi’ (pichani), anaendelea kusakamwa na wagonjwa wanaodai hawakuponyeshwa na dawa yake, wapo walioweka nia ya kumburuza Mahakamani...
  19. Lekanjobe Kubinika

    Umeipata hii?

    From Yahoofriends. "KUMEZUKA WIMBI JIPYA LA UHALIFU, HII IKO NAMNA HII:- UNAKUTA MFUKO WA NYLON( MAARUFU KAMA MIFUKO YA CONDOM,RAMBO,PLASTIC) BARABARANI . UKIUKANYAGA TU LAZIMA UTAPATA PUNCHER MAANA NDANI YAKE KUNA KIBAO KILICHOPIGILIWA MISUMARI ZAIDI YA UNAVYOFIKIRIA WEWE. UKISHUKA GARINI...
  20. Lekanjobe Kubinika

    Ati Liza atakuwa kabila gani?

    Nimeulizwa na Yahoofriends sijapata jibu. Tusaidiane kijibu: OTEA LISA ATAKUWA KABILA GANI??? utaipata kwa Laki... John alimwalika rafiki yake Fred nyumbani kwake kwa ajili ya dinner na vinywaji. Baada ya maakuli na wakati vinywaji vinaendelea John, mkewe John (Lisa) na mgeni wao...
Back
Top Bottom