Alumn fra Kaengesa Seminary Secondary School

Lekanjobe Kubinika

JF-Expert Member
Dec 6, 2006
3,020
576
From Yahoo friends
556635_496424037051767_150520998_n.jpg
 
Wakenya tangu mwaka 1972 walianzisha harambee kupeleka watoto wao kusoma Marekani, Uingereza, na kwingineko. Wabongo kazi yao kuendekeza harusi tu. Sawa na mijitu mingine haitaki kuchngia wagonjwa wasio na uwezo ili wakatibiwe, lakini haohao hujifanya kuandika michango minono kununulia majeneza na sanda na mapombe msibani ati marehemu alikuwa rafiki yao sana. Kudadadeki mi nikifa usilete hata senti moja kama hutaki kunichangia nitibiwe. Nitakuona tu ukichanga na ntakutumia laana uharibikiwe mipango yako. Msaidie mtu kwa tija, asome apate maarifa asaidie na wengine. Harusi wachangia mipombe hata waakilewa watu huanza ufuska palepale harusini na kuokoteza miwaya???????
 
Mie mbona sijaelewa,maelezo na kichwa cha habari,fafanua vizuri basi maelezo yako!!!
 
Back
Top Bottom