Umeipata hii?

Lekanjobe Kubinika

JF-Expert Member
Dec 6, 2006
3,020
576
From Yahoofriends.


"KUMEZUKA WIMBI JIPYA LA UHALIFU, HII IKO NAMNA HII:- UNAKUTA MFUKO WA NYLON( MAARUFU KAMA MIFUKO YA CONDOM,RAMBO,PLASTIC) BARABARANI . UKIUKANYAGA TU LAZIMA UTAPATA PUNCHER MAANA NDANI YAKE KUNA KIBAO KILICHOPIGILIWA MISUMARI ZAIDI YA UNAVYOFIKIRIA WEWE. UKISHUKA GARINI KUANGALIA KULIKONI WIMBI LA VIBAKA LINAKUVAMIA NA HAKUNA UTAKACHOBAKIA NACHO ZAIDI YA GARI MAANA LITAKUWA HALINA UPEPO BAADHI YA MAGURUDUMU.VIBAO NI VINGI KWA UMBALI MFUPI MFUPI.HII IMETOKEA JANA TABATA KISUKURU MAENEO YA MAKOKA MIDA YA SAA TATU USIKU. WALIOPATA PUNCHER NI PAMOJA NA WIFI YANGU NA MAGARI MENGINE KIBAO, WALIOLIFANIKIWA KUIBIWA SIJAPATA TAARIFA BADO ILA TULIJI-ORGANISE NA KUPITA NJIA ZOTE NA KUVUKUSANYA. WATAKUPIGA KIASI GANI HIYO INATEGEMEA KIWANGO CHA BANGI WALICHOVUTA NA UNAJEURI KIASI GANI. TAHADHARI. USIKANYAGE MFUKO WA NYLON ( KWEPA). UKIKANYAGA BAHATI MBAYA JIANDAE VYEMA KABLA YA KUSHUKA GARINI AU TEMBEA NA PUNCHER UMBALI KIDOGO. MTAARIFU NA MWENZAKO".
.


serv

__,_._,___
 
haya sasa makubwa, sijui kama Kova ana habari hii jamani mbona balaa tupu, siendi Tabata na gari kama ndo ivyo
 
Naona imezuka saana aisee.... Hii ni thread ya 6 this week toka kwa member mbali mbali with the same warning.... Asante kwa taarifa.
 
Yeah imerudiwa mara nyingi kiukweli..
Kuna walioshuri vijana wa Kova waende na gari ya kawaida mitaa hiyo,ili nao wakanyage kisha wawakwide hao vibaka..
 
Unakaa kijijini. Unachelewa kurudi. Huko hata upepo ni kwa mgao. Hiyo ni repeatation ya old incedences. Be carefull for your own safety. Rudi mapema ujoin JF online party.
 
Nafurahi safari hii watu wengi wanatambua umuhimu wa taarifa inayojirudia mara kwa mara. Inalenga kuwpata watu walio wengi zaidi kutokana na umuhimu wake. Mtu mbishi asubiri itakapomfika mwenyewe aandike tukio la kwake kwa mara ya kwanza ili tumpatie reference kama hii ya kurudiwa JF. Big up JF waungwana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom