Search results

  1. Powell Gonzalez

    Hii dunia kuna watu wamepinda sana

    duuuh kuna watu huwa wanaakili za wenyewe tu
  2. Powell Gonzalez

    Watu waliomizwa wakawa sugu

    Hapa siongei sana, picha inajieleza, hujaelewa uliza.
  3. Powell Gonzalez

    Kwanini Februari inakuwa na siku 29?

    Karibia kila baada ya miaka minne mwezi wa februari hupata siku ya nyongeza, yaani siku ya 29 ambayo huweza kuitwa ''leap day''. Kama sehemu ya gregorian claendar. Hii ndio sababu... Gregorian calendar ilianzishwa 1582 kwenye kalenda hii karibia kila baada ya miaka minne mwezi februari huwa na...
  4. Powell Gonzalez

    Elon Musk ameokoa $ 25 billions kwenye kodi kwa kubadili jina la ''twitter'' kuwa '' x''

    Mfanyabiashara na tajiri bwana Elon Musk aliokoa takribani dola za marekani bilioni 25 kwa kubadili jina la twitter kuwa x . Sasa ipo hivi: Kwa pale Marekani, unapokuwa na public company inabidi utangaze kipindi ambacho itauza shares na kubadili shareholders. Sasa baada ya Musk kuinunua...
  5. Powell Gonzalez

    Ni kitu gani ukikisahau lazima ukirudie?

    Moja kwa moja kwenye mada salamu kesho! Hivi ukiwa unatoka kwenda harakati kitu gani ukiwa umekisahau lazima tu ukirudie hata kama umeshadandia boda, umeshawasha gari au kuingia kwenye daladala. Mimi; miwani, aaah glasses lazime nirudi tu aisee.
  6. Powell Gonzalez

    UTAFITI: Ukweli kuhusu watumiaji wa JamiiForums

    Kama mtu ambae napenda kufanya research, Kutokana na utafiti (si utafiti wa kisayansi kwa 100%) nilioufanya nimegundua kuwa wengi wa member wa JF huamini ndivyo sivyo kuhusu member wenzao. Baadhi wamekuwa wakiamini kuwa asilimia kubwa ya member ni watu wa kipato cha chini lakini hujikweza kuwa...
  7. Powell Gonzalez

    2024 inaanza February, 1st. January ilikuwa free trial!

    Hii ni kwa wale ambao walipanga vitu vingi kuhusu mwaka 2024, lakini mpaka January inaisha sasa hawajafanikiawa kufanya au kuanza mpango wowote, haujachelewa let's say, ''to us 2024 starts on 1st, February. January was just definately a free trial'' Kuna waliopanga mwaka huu kuacha baadhi ya...
  8. Powell Gonzalez

    Hawa ndio wahusika niliwahi kuwa kubali zaidi kwenye Movies/simulizi

    Kichwa kinajieleza, Kuna baadhi ya muvie na simulizi ukiziangalia basi unajikuta umewakubali sana baadhi ya wahusika. Kwa mimi ni kama ifuatavyo: 1. Pedro Alonso/Berlin - Money heist Jamaa ana calmness, man of action, genius na yupo very cold. 2. Tommy shelby - peaky blinders Huu ni mwamba...
  9. Powell Gonzalez

    Wanachokifundisha JKT/ Jeshi la kujenga taifa

    Kwa miaka ya hivi karibuni kumekuwa na agizo la serikali la kuwataka wanafunzi waliomaliza elimu ya kidato cha sita kwenda kujiunga na mafunzo ya miezi mitatu ya jeshi la kujenga taifa maarufu kama ''kwa mujibu wa sheria''. Sina uhakika kama mwanzilishi au serikali wakati inaanzisha mafunzo...
  10. Powell Gonzalez

    Mwanaume ambaye hujaoa hakikisha unaunga mkono moja kati ya hizi kampaign

    Nazungumzia wanaume ambao hawajaoa sio waliooa au waliopo kwenye ndoa, kuna campaign tatu ambazo nataka kuzipigia debe mimi kama mimi. Kampeni moja tayari imeshaenea na nafurahi vijana wengi wa Jamii Forums wameisapoti kwa kiwango kikubwa, hii inaonyesha muamko wa vijana kwenye kusapoti haya...
  11. Powell Gonzalez

    Wapenzi wa movies nina swali kidogo

    Wapenzi na wafatiliaji wa movies nina swali kuhusu hii movie ya money heist/ La casa de papel, toka ilipoishia season 5 netflix walisema hakuta kuwa na seoson lakini baadae wakaja kusema kuwa kutakuwa na movie itakayoonyesha matukio ya Pedro Alonso or Berlin kabla ya tukio la money heist ya...
  12. Powell Gonzalez

    True story; I killed her (Simulizi ya kweli; Nilimuua)

    The first day we met ilikuwa last week, on Christmas day, tulikutana kama bahati tu bar fulani hapa hapa Dar. We stay at the same table having some drinks and stories. Baada ya kuzoeana kidogo alianza kuniambia vitu ambavyo nilivipuuza na kuhisi alikuwa ameanza kuzidiwa na pombe. Nakumbuka...
  13. Powell Gonzalez

    Rule number one...

    Rule number one - Don't fall in love Rule number two - If she is very beautiful, forget rule number one. Rule number three - If she don't love you back remember rule number one. *this dedicated to all legends
  14. Powell Gonzalez

    Natafuta shamba la kukodi Morogoro

    Habari za muda huu, Natafuta shamba la kukodi morogoro, ekari Moja au mbili. Liwe maeneo ambapo kilimo Cha umwagiliaji kinaweza kufanyika. Ahsanteni. Keygun Gershom
  15. Powell Gonzalez

    Biashara ya ATM

    Kuuliza si ujinga, walisema wahenga. Nami kwa kuheshimu methali hii naomba kuuliza bila uoga, hivi hizi ATM ni mtu yeyote mwenye mtaji anaweza kufungua ATM ? kama Kuna mtaalam basi afafanue na gharama kwa undani kidogo, kwenu wakuu.
  16. Powell Gonzalez

    Looking for a future wife

    I have been looking for a girl to call her a future wife, but I haven't find one who fits my criteria. I am 23, taking bachelor's degree in business administration second year. I need someone to be my future wife, she must've the following criteria; A virgin Either Likes or perform businesses...
  17. Powell Gonzalez

    Nidhamu na motisha katika kufikia malengo (discipline and motivation in achieving goals)

    Kabla sijazungumzia kuhusu nidhamu na motisha ( discipline and motivation) Nianze Kwa kutoa mfano, Hapo zamani kidogo nilipokuwa nasoma sekondari nilikuwa napenda Sana kuangalia filamu za akina Vin Diesel, Dwyn Johnson na akina Jason Statham nilipokuwa olikizo. Basi siku Moja nikawa naangalia...
  18. Powell Gonzalez

    Kuanzisha biashara ni jambo gumu sana kuliko kutafuta ajira

    I wonder how you stay that long ukiwa uko na capital alafu hujui biashara ya kufanya? Wakati I always meet people ambao wapo na very sensitive business idea but they don't know how they'll fund it! Kweli hupewi vyote!!!![emoji851]
  19. Powell Gonzalez

    Epuka gharama kwa kuacha kununua vitu visivyo vya lazima, tumia mbinu hizi

    Bila shaka kila Mtu ameshawahi kununua kitu alafu baadae akajihisi kama anajutia kukinunua Aidha Kwa sababu hakina umuhimu au kimemuingiza gharama zisizo za msingi.Hapa mara nyingi vitu kama simu,vifaa vya usafiri,nguo na vitu vingine ambavyo ni luxurious huwa vinahusishwa. Mimi Kwa utafiti...
Back
Top Bottom