2024 inaanza February, 1st. January ilikuwa free trial!

Powell Gonzalez

JF-Expert Member
Jun 28, 2023
622
1,276
Hii ni kwa wale ambao walipanga vitu vingi kuhusu mwaka 2024, lakini mpaka January inaisha sasa hawajafanikiawa kufanya au kuanza mpango wowote, haujachelewa let's say, ''to us 2024 starts on 1st, February.

January was just definately a free trial'' Kuna waliopanga mwaka huu kuacha baadhi ya tabia kama ulevi, uzinzi, uvutaji wa sigara, uvivu you mention it, lakini mwezi wa kwanza unaisha bado wapo na tabia zile zile, you have not fail ji-commit tena kwa nguvu zote this time you will succeed.

Kuna waliokuwa na mipango mingi kama hard working, saving and so much more but they have done nothing so far, you are not late....tuanze february kwa kuji-commit labda huuutakuwa mwezi wa ushindi!

********
I HAD TO WRITE THIS
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom