Search results

  1. Lord K

    Ujenzi wa barabara za kasi

    Ni kero baada ya kero..sijui kwanini hawajengi usiku..wanajenga baada ya muda wanabomoa...wanavunja wanaacha vumbi wanaondoka...kiukweli watumiaji wa morogoro rd ni kero sio kidogo...
  2. Lord K

    Ghorofa la makazi karibu na Ikulu

    Hivi waungwana lile sakata la ghorofa lililozua sekeseke pale karibu na Ikulu ndo limefikia wapi? au ni la haohao wa KIJANi ndo maana limepozeshwa... kweli tanzania haina sera inaongozwa na matukio
  3. Lord K

    Naomba kufahamishwa tu

    Hivi lile jengo lililobaki na ufa pale mtaa wa Indira Ghandi tuliloambiwa litabomolewa baada ya kuporomoka kwa lile la ghorofa 16 na kuua Watanzania zaidi ya 30 ...hili sakata liliishia wapi? Nawasilisha..
  4. Lord K

    CRDB Azikiwe Premier kwahili mmezidi

    Mimi ni moja ya wateja wa hii bank kwa muda kidogo, lakini hiki kitabia cha kuacha teller mmoja kati ya saba kuhudumia wateja waliojazana kwenye hall naona kama umekuwa ni utaratibu wao wa kazi wa kila siku sasa....ninachotaka kuhoji hapa hivi kuna cusomer care manager anayelipwa mshahara humu...
  5. Lord K

    kuna tatizo lolote kwa kijana wa kiswahili[kiafrika] kumpenda binti wa kiarabu??

    Rafiki yangu ana mchumba wake ambaye ana asili ya kiarabu;ametangaza nia ya kumuoa LAKINI ANAKOSA SAPOTI ya ndugu na jamaa wengine....KWANI KUNA TATIZO lolote kwa mahusiano ya aina hii???
  6. Lord K

    Eti mimi... KUMBE.....

    Anadai anawashwa na makalio na nimwanaume......
  7. Lord K

    matumizi yake makubwa

    Of coz nampenda sana my girl friend but ana matumizi makubwa sana ya pesa na mengine siyo ya muhim sana na ukizingatia mimi kijanan najijenga bado. Naomba ushauri wenu ,je nimnyime au nifanyeje?
  8. Lord K

    Jeshi la Kupinga CCM( CCM Resistance Army (C.R.A)

    Katika harakati za kuipinga na kuiondoa CCM madarakani ,humu jamii forum tunaanzisha rasmi jeshi la kupinga kuonewa,kunyanyaswa pamoja na udhalimu mwingine wowote unaofanywa na serikali hii ya CCM.Kwa kuanzia tuanze kuhamasishana kwa kukumbushana unyama uliofanywa na serikali hii ili tuwe na ari...
  9. Lord K

    Serikali isiyoshindwa kesi na wenye haki....

    Kila mgomo Tanzania siyo halali, ukiwa wa wanafunzi vyuoni,walimu,madaktari na pia maandamano yoyote yanayodai au kuonyesha udhaifu wa serikali pia nayo tunaambiwa ni kinyume na sheria hasa yakiwa ya CHADEMA au WANAHARAKATI,tamwa,WANAVYUO nk, tena usiombe suala lolote la wanyonge lifike...
  10. Lord K

    Tuwafanyie kama tunavyowafanyia Vibaka...

    Ndugu zangu,kama mtu akipora simu tunamshambulia kwa nawe,marungu na hata kumchoma moto kwa Sababu ya hasira na kutokuwa na imani na jeshi la polisi...naomba tuungane katika kampeni hii,kila anayejulikana kama fisadi tusimuonee haya wala huruma.hivi tunashindwa nini kuwapiga mawe hawa au...
  11. Lord K

    Shigongo naye Freemason

    Yabainika hana miaka miwili....akutwa amechanganyikiwa makaburini..yadaiwa freemason wanatataka chao.... siyo sikuzote unaandika wenzako tu,nawewe leo zamu yako
  12. Lord K

    wageni ni zaidi ya wa Tz!

    Juzi juzi walivamiwa watalii bahati mbaya wengine waliuawa na kuibiwa..kilichotokea serikali ilitoa helkopta na mkuu wa operation wa polisi wakasaka mtaa kwa mtaa na kuwapata baadhi ya wahalifu.,Dr ulimboka ametekwa, amesulubiswa na kufanyiwa unyama mkubwa..serikali inaita waandishi wa habari na...
  13. Lord K

    Ujinga ni.........

    Ujinga ni kumchungulia mke wako akiwa anaoga; ujinga ni kupunguza sauti ya TV ili usome sms; ujinga ni kutoa ushuzi ukiwa na headphone masikioni......ujinga ni.... Tiririkaaa.....
  14. Lord K

    Muwe mnasema jamani;

    Eti, sababu hasa ya kinadada kutokuwa wawazi pale wapenziwao wanapokuwa hawawafikishi ni nini hasa??? Kwanini huwa wanapenda kuumia kimyakimya??
  15. Lord K

    Kiungo cha mwili wangu

    Hivi ukiambiwa utaje kiungo gani cha mwiliwako unachokipenda zaidi kuliko vingine na kwanini..jibu lako lingekuwa kiungo gani?
  16. Lord K

    kuishitaki serikali

    Wana JF kwa mujibu wa Government Proceeding Act, kama unataka kuishtaki serikali lazima utoe notice ya siku 90 juu ya nia yako ya kushtaki....justice delayed is justice denied...Hivi hasa umuhimu wa kifungu hiki ni nini?
  17. Lord K

    Nilimuona wa kawaida nikaja gundua....

    ndugu wana JF,NILIKUWA NA MPENZI WANGU, BAADA YA KUWA NAYE KWA MUDA KAMA WA MIEZI 3 HIVI, nilianza kumuona kama wa kawaida tu na hakuna tofauti ya kuwa naye au kutokuwa naye, nikaamua kuwa kivyangu na kukaa kimya japo alitaka nimjulishe nini kimenipata lakini nikadharau, sasa nimegundua kuwa...
  18. Lord K

    Ni kitu gani hasa kitasababisha Watanzania waseme sasa BASI?

    Ndugu zangu wana JF, TUMESHUHUDIA NA KUSIKIA MENGI YAKIFANYIKA NDANI YA SERUIRIKALI HII DHALIMU YA ccm.Ndani ya utawala huu tumeshuhudia wananchi tukiingia gharama ambazo hakika hatuzistahili.Mikataba mibovu ya madini,Uongozi wa Kishkaji,mfumuko wa bei, Ufisadi uliopindukia,Serikali isiyotaka...
  19. Lord K

    Kunani CHADEMA na siasa za Tanzania

    Kila uchaguzi tunaona chadema ikipata support kubwa sana kutoka kwa wananchi ila matokeo huja tofauti na muonekano wa kampeni zake...KUNANI HAPA?:A S 13: MI SIELEWI
Back
Top Bottom