CRDB Azikiwe Premier kwahili mmezidi

Lord K

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
213
37
Mimi ni moja ya wateja wa hii bank kwa muda kidogo, lakini hiki kitabia cha kuacha teller mmoja kati ya saba kuhudumia wateja waliojazana kwenye hall naona kama umekuwa ni utaratibu wao wa kazi wa kila siku sasa....ninachotaka kuhoji hapa hivi kuna cusomer care manager anayelipwa mshahara humu kweli?..na kama yupo ana kazi gani labda..

Nimekaa zaidi ya saamoja na nusu kusubiri kupata huduma...au ndo mmesharidhika na idadi kubwa ya wateja mlionao...Acheni hizo....
 
Back
Top Bottom