Ni kitu gani hasa kitasababisha Watanzania waseme sasa BASI?

Lord K

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
213
37
Ndugu zangu wana JF, TUMESHUHUDIA NA KUSIKIA MENGI YAKIFANYIKA NDANI YA SERUIRIKALI HII DHALIMU YA ccm.Ndani ya utawala huu tumeshuhudia wananchi tukiingia gharama ambazo hakika hatuzistahili.Mikataba mibovu ya madini,Uongozi wa Kishkaji,mfumuko wa bei, Ufisadi uliopindukia,Serikali isiyotaka kuwajibika,vyombo vya dola kutumika kwa maslahi ya chama tawala,ubovu wa huduma za kijamii kwenye taasisi za serikali, Ma Richmond,Ma dowans ,Ma RADA,mA aGRECO,WANYAMA KUSAFIRISHWA,mIGODI WATU WANAVUNA KAMA KWAO NA KODI HAWALIPI,WIZARA YA AFYA SIJUI NINI,MARA SIJUI JAIRO KACHANGISHA BILIONI NGAPI KUPITISHA BAJETI.................AAAAAAAHHGH,IMETOSHA WATANZANIA LETS DO SOMETHING, ITS TIME FOR ACTION YES, TIM E FOR REVOLUTION ,,,KUJIFANYA TUNALINDA ''AMANI''HUKU TUNANYANYASIKA ,HATA MUNGU HATATUSAMEHE ,,,HATA YESU/NABII ISSA ALIPOONA WANYANG'ANYI WAMEFANYA NYUMBA YA BWANA PANGO LAO ALICHUKUA HATUA KWA VITENDO...
 
Kuna mtu aliniambia kwamba, kwa ujinga wa Mijitu ya nchi hii, hata CCM wakitangaza kuwa watu wote watembee uchi, kwa Watanzania walivyo, watatembea uchi. Na labda ili waseme imetosha, ni vijiti tu matakoni.
 
Kunahitajika utafiti wa hali ya juu,kwa nini wananchi tukubali kudhalilishwa namna hii,haiwezekani haiwezakani kila mtu alipo afanye kazi ya kutoa uamsho watu tuseme inatosha hawa manguruwe wanamaliza nchi yetu
 
Back
Top Bottom