Ujinga ni.........

Lord K

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
213
37
Ujinga ni kumchungulia mke wako akiwa anaoga; ujinga ni kupunguza sauti ya TV ili usome sms; ujinga ni kutoa ushuzi ukiwa na headphone masikioni......ujinga ni....

Tiririkaaa.....
 
ujinga ni kuva sunglass usiku,ujinga ni kujamiaana bila kinga ujinga ni kupenda kulalamika
 
ujinga ni mjinga kama wewe ulioleta huu ujinga humu... Sorry for being ruuude.
 
ujinga ni wewe kurudia topic ambayo imeshawekwa mara kibao humu.. mjinga sna wewe
 
ujinga ni kumpa kuku maji ya moto eti ili atage mayai ya kuchemsha
 
ujinga ni kuponda thread za watu wakati usinge comment usingepungukiwa na kitu..
 
Ujinga ni kumchungulia mke wako akiwa anaoga; ujinga ni kupunguza sauti ya TV ili usome sms; ujinga ni kutoa ushuzi ukiwa na headphone masikioni......ujinga ni....

Tiririkaaa.....

mi napita tuu ila kuchagia ujinga ni ujinga.
 
Back
Top Bottom