Search results

  1. Dcxkobe

    Nimejitafuta kwenye kubeti mpaka nimechoka

    Tangu niingie kwenye kubet adi sasa sijapata faida yoyote Zaid ya hasara kila nikisomaga post xozote za kuhusu kuifaidi betting karbu wote wanasemaga usiweke timu nyigi odds 2 tu zinatosha Ayo yote nimefanya lakn n vipigo tu option zote kwenyr football nimezijarbu lakn hakuna tofaut nikahama...
  2. Dcxkobe

    Nyimbo ya Abby skills ft Mr blue

    Wakuu Leo nilikua najikumbusha kuangalia nyimbo za bongo fleva za zamani, hivi Ile nyimbo ya Abby skills ft Mr blue. Mimi wewe, yule demu alietumika mule kwenye video sio qeeen daaring kweli au nimefananisha?
  3. Dcxkobe

    Yamenikuta Kama ya kwenye movie

    Mwaka 2019 nilikua na msichana mpenzi wangu mwaka huo huo nkaondoka kwenda kuitafuta maisha nkamwambia acha nikasake noti nikizipata nitakuja nikuoe mwaka huu mwezi uliopita ndio nimerudi nimemkuta ameshaolewa na ana watoto wa 2 dah yamenikuta ya kwenye dhadkan ya sunnly shety
  4. Dcxkobe

    Huyu Mwanamke anazingua kichizi

    Kuna binti mwaka 2018 nilimtongozaga akakubali tena akaonesha kunipenda ila tena nikaadha kumuona wanini. Yaani kujibu sms hadi nijisikie yaani nilimkinai ata Bado sijamvua nguo alikua anani hendo sana lakini Mimi sijali nikikutana naye hata jiani najifanya nina haraka ili nisiongee nae tu na...
  5. Dcxkobe

    Mnaikubuka hii movie?

    Mnaikubuka hii movie ya Ajay davigan inaitwa Vijay path aise Kuna song umo demu alikua anawaza baada ya mshikaji kumualika kunywa chai aise vya kale zahabu zile alaaa zinavyopigwa Yan madogo wa ckuiz wanazngua. Ule uhalisia wa bollywood hakuna Tena nachi inaimbwa Kama amapiano
  6. Dcxkobe

    Yamenikuta

    Yamenikuta Kama yaliyotokea kwenye hz movie. Dhadkan upande wa sunnly shet Tere ma'am. Darr.upande wa sharukhan. Dil karshta upande wa Arjun rampal n hvo tu
  7. Dcxkobe

    Punyeto imenimaliza

    Habar ndugu zangu, Nimepiga punyeto kwa muda mrefu Sana nilianza 2009 Kama utani ilipofka2013 ndio nikaaza kuona madhara makubwa mwili ukadhoofu sana halafu nikawa mzito kuelewa yaani nakuwa kama zoba fulani mwili masaa yote umechoka ni nikawa napenda kulala tu. Mpaka sasa hivi hali ni...
  8. Dcxkobe

    Azam TV mechi za UEFA huwa wanaonesha Chaneli gani?

    Sorry nauliza mechi za UEFA kwenye king’amuzi cha Azam TV huwa wanaonesha Chanel namba ngapi?
  9. Dcxkobe

    Ngozi yangu huwa imekunjamana Sana

    Mimi ni mwanaume nina umri wa miaka 29 huwa nasumbuliwa na tatizo la ngozi imefubaa imekujamana sana. Niliwahi sikia punyeto ndio inafanya iwe hivyo sijui labda hilo ndio tatizo maana sasa hivi naonekana kama mzee wa miaka 70. Sijui nifanyaje kurudisha ngozi yangu sawa iende na sawa.
  10. Dcxkobe

    Nimenunua friji kwa mara ya kwanza

    Nimenunua friji sijui matumizi yavi namba vyake viko 1 adi 7 Sasa cjajua 1 ndio inakua na Kasi au 7
  11. Dcxkobe

    Chanel za movie

    Naomba msaada hv kwenye king,amuzi Cha Azam chenel za movie za kihindi zile zuri za. Mastar marufu Yan kiufupi movie za bollywood ninamba ngap au jina la chanel
  12. Dcxkobe

    Unahesabu vipi kupata namba ya siti kwenye basi?

    Hv siti za gari. Huwa wanahesabuje kuipata namba ulipoewa Mimi sio mzoefu sana wa safar kwa mfano tiketi yangu n siti 5 jinsi kuihesabu nakubuka nliwahi pewa siti nlipofika Mimi nkatafuta tu palipo andikwa Kama n 7 naitafuta Sana tu ilipo nakaa lakn nliambiwa sio hapo ndio nimeomba leo nipewe...
  13. Dcxkobe

    Movie Bora za Kihindi kwa muda wote

    Hii n list ya movie za kihindi kwa mtazamo wangu naona ndio Bora kwa muda wote Bollywood hasa kwenye love story kama hutaielewa list yangu unaweza taja na zako zilizo kubamba kwangu movie Bora n 1. Dilwale dulhia lejeynge srk 2. Darr srk na sanny deol 3. Fida ya Shahid Kapoor 4. Pyaa...
  14. Dcxkobe

    Wazee wa Bollywood movie

    Wangap mnaikubuka hii movie dilwale dulhia lejeynge binafsi sijaona mpaka leo movie Bora ya love story kama iyo hasa ma song yake alafu kulikua na ka Alam. Fulan hv sharukhan alikua anapenda kupiga kwa kale ka gita kake kanatoa sauti Kama ya kengele fulan hv ebhana full burudani na zile...
  15. Dcxkobe

    Nimeshindwa nicheze game lipi

    Mimi napenda magemu ya story hasa ya kivita Ila kila mtu anataja Aya pugb.call of dirty.modern combat nimeshindwa nicheze lipi Sasa nzur Zaid ya yote naomba mpendekeze moja tu ambalo mnahc n Bora kuzd yote
  16. Dcxkobe

    Naogopa kutongoza

    Wadau nipo monduli huku mwaka mmoja Sasa kuna mademu wa mburu au waitaq wengi Sana na makabila mengne ya kaskazin Ila nakua mzito Sana kuwatongoza
  17. Dcxkobe

    Mliowahi kucheza GTA game

    Kwa wale mliowahi kucheza game za gta ety. Mpaka uwe unajua kiingereza ndio uliweze mission zake watu wanaisifia Sana hasa San Andreas, niliwahi jaribu kuidownload mwanzo tu nashindwa kujua niende wapi naona la mtu kamesimama tu.
  18. Dcxkobe

    Wapenzi wa kucheza magemu

    Natafuta magemu ya kivita ya kuokoa watu au kwenda sehemu fulani kwenda kupigana kumuokoa mtu fulani Yan game liwe Kama movie za kivita zinavyokua story yake kwa mnaoyafaham magemu ya namna iyo mnaweza nitajia nikayatafuta iwe ya kwenye cm au PC vyote sawa tu
Back
Top Bottom