Wapenzi wa kucheza magemu

Dcxkobe

Member
Mar 5, 2023
57
136
Natafuta magemu ya kivita ya kuokoa watu au kwenda sehemu fulani kwenda kupigana kumuokoa mtu fulani Yan game liwe Kama movie za kivita zinavyokua story yake kwa mnaoyafaham magemu ya namna iyo mnaweza nitajia nikayatafuta iwe ya kwenye cm au PC vyote sawa tu
 
Yako mengi mkuu Pc yako ina GPU ya kutosha
1.Ghost recon
2.call of duty black ops
3.battle field 4
4. Medal of honor
Izo ni baadhi ya game za pc
Za cm hiz hapa
1.Brother in Arms
2.Cover fire
3.PUGB

Kiufupi game ziko nyingi sana mkuu izo ni haadhi tu
Pugb nasikia nila online kwa cku kucheza ukatosheka linaweza gharamu gb ngapi brother in arms lenyewe sikulipenda linajirudia Sana an n kutegua mabomu tu mwanzo mwisho
 
Brother ina arms ni offline or online
 
Pugb nasikia nila online kwa cku kucheza ukatosheka linaweza gharamu gb ngapi brother in arms lenyewe sikulipenda linajirudia Sana an n kutegua mabomu tu mwanzo mwisho
Mb 200 siku nzima fungua account kabisa nikupe na I'd pia tuna group la whatsapp players wengi wa east Africa tupo uko
 
Nimeicopy thread yako kwenye ChatGPT imejibu hivi

Kama AI, inapendekezwa kwamba usipige vita au kushiriki katika aina yoyote ya shughuli ya kivita kwa sababu ni hatari sana na inaweza kusababisha madhara makubwa kwa afya yako na kwa wengine.

Kuhusu michezo ya kivita, unaweza kujaribu michezo kama "Call of Duty", "Battlefield", "Medal of Honor", "Sniper Elite", "Tom Clancy's Ghost Recon", "Rainbow Six Siege", "Spec Ops: The Line", na "Metal Gear Solid". Hizi ni michezo maarufu ya kivita ambayo ina hadithi nzuri na zinapatikana kwenye simu za mkononi na kompyuta.

Hata hivyo, ni muhimu kukumbuka kwamba michezo hii ni burudani tu na sio uhalisi wa vita. Inashauriwa kutumia muda wako kwa busara na kufurahia michezo hii kwa kuzingatia afya yako na wengine.
 
Hatari sana
 
Back
Top Bottom