Search results

  1. Pazmanian

    Ongeza ufanisi wa engine yako ya 1Hz ktk landcruiser 70 series kwa kuweka turbo na intercooler

    Idea nzuri kama inakupendeza ungeshea nasi hayo maarifa jinsi ya ku modify walau tupate mwanga.
  2. Pazmanian

    Wauzaji wa Tyre na battery za magari aina zote

    Hii ni size ipi?
  3. Pazmanian

    Hongera dereva unayetoa tangazo mwendokasi

    Mkuu umeshirikisha ubongo kufikiri au umeamua wewe mwenyewe tu.
  4. Pazmanian

    Hali ya hewa ya Dodoma imenishinda

    Jibu kwa hoja mkuu, wacha kebehi za kike.
  5. Pazmanian

    Hali ya hewa ya Dodoma imenishinda

    Singida inatofauti gani na dom kwenye hali ya hewa? maji chumvi, upepo, baridi, vumbi pamoja na hewa kavu vyote hivi Singida vipo.
  6. Pazmanian

    Hivi huu ni upole au mimi ni boya?

    Wazo la kula wida kwa nini umeliacha?
  7. Pazmanian

    Hamis Taletale: Neno Rais litumike kwa Rais wa nchi na si wengine kama TFF

    Hoja hafifu ikiwa na mawazo ya kipumbavu.
  8. Pazmanian

    Hakuna movie kali ya kivita kuzidi Saving Private Ryan

    The last frontier, hatari sana the battle of moscow. Danger close Fury 1917 Hacksaw ridge
  9. Pazmanian

    Bye bye ios

    Mkuu unamaanisha nini unaposema "kama unavisha simu cover".
  10. Pazmanian

    Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

    Mkuu link ya oneplus nord N 10.
  11. Pazmanian

    Kwa mara ya kwanza leo nimekunywa bia

    Yani lite alafu ndio unajifungia chumbani?? achana na hio itakuchelewesha sana kugundua unachotaka kufahamu. Vuta nondo aka Safari lager, mdomoni ladha tamu hizo utakunywa nyingi alafu sasa ndio utapata majibu unayotamani kuyapata.
  12. Pazmanian

    Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    Hub mguu wa nyuma complete na calpa yake swift new.
  13. Pazmanian

    CCM - baada ya kifo, maombolezo na mazishi ya Hayati Dkt John Pombe Magufuli - tutawakabili CHADEMA, ACT, NCCR, CUF - Ofisi zao watafugia kuku

    Bado upo kwenye ulimwengu wa kutishana hadi leo mshamba sana wewe, hoja yako nayo ya kishamba sana. Bado ujakombolewa kifikra kama unawaza ushamba wa kipumbavu namna hio.
  14. Pazmanian

    Je, Rais Magufuli alikuwa na Pacemaker au Defibrillator? Ilidukuliwa?

    Hoja ipo unbalance lakini ngoja tuendelee ku connect dots.
  15. Pazmanian

    Sabaya akionesha majonzi juu ya kifo cha Magufuli

    Chozi gani linatoka upande mmoja matumizi mabaya ya macho haya. Madame president piga chini hii toto pori.
  16. Pazmanian

    RC Chalamila: Nimeupokea msiba wa Rais Magufuli kwa mikono miwili, kazi ya Mungu haina makosa

    Wakati mwingine tusisingizie bangi kwa kila jambo la kustaajabisha. Kuna wengine wanazaliwa na matatizo ya akili mfano mzuri ni huyo rc, haikuchukui hata nusu saa tuu kufahamu kuwa jamaa ni punguani. Ni mmoja wa marc ovyo kuwahi kutokea nchini.
Back
Top Bottom