Hali ya hewa ya Dodoma imenishinda

Thread kama hizi enzi ya mwaka jana hazikuwepo.
Mnatengeneza mazingira ya kuikwamisha makao makuu, ili mrudi dar naona.
 
Baridi kaliiiii...hewa kavuu...
Wadau mnaoishi Dodoma mnawezaje ishi.. mnatumia sabuni na mafuta gani.. maana mimi ndani ya wiki tu ngozi imekua kama ya kenge, bila citrizine mafua hayaishi..

Utadhani nina-uviko.. Maji chumvi..sabuni hazitoi povu..wadau mnaishije... Msaada tafadhali
Mkuu Mr Mtui hii Hali unliiona na kukushirikisha Dodoma Ni ya mwaka huu TU sijawahi Iona Wala kukutana nayo nipo Dodoma kwa zaidi ya miaka 30. Vumilia Ni ya kupitabtu mkuu
 
Hili la kukunja ndita niliwahi kuishi hiyo fasi. Nakumbuka nilimwambia mwenyeji wangu kuwa watu wa huku wengi sana wanakunja ndita, jamaa akajibu jua kali vumbi jumlisha na nonstop upepo. Dodoma muda mwingi upepo unavuma asee
Hata Wilaya ya Hanang mkoa wa Manyara tunatembea tumekunja ndita upepo mkali, baridi kali, vumbi la kutosha tinapauka sana jaman!!! Hauwezi kuitreat ngozi yako ikakaa vizuri sipendi mazingira yasiyotulia kama haya!! Muda wote makoti kama tunaendesha pikipiki
 
Baridi kaliiiii...hewa kavuu...
Wadau mnaoishi Dodoma mnawezaje ishi.. mnatumia sabuni na mafuta gani.. maana mimi ndani ya wiki tu ngozi imekua kama ya kenge, bila citrizine mafua hayaishi..

Utadhani nina-uviko.. Maji chumvi..sabuni hazitoi povu..wadau mnaishije... Msaada tafadhali
Hama
 
Dodoma kweli hali ya hewa mbaya. Nakumbuka miaka hiyo ukienda mjini unatembea na maji na mafuta kwenye bag incase vumbi limezidi miguuni au umepauka.
 
Mwambie huyo.. ni demu wangu wa Dodoma anayo Tamu balaa.. sasa ananzaje kukandia tena jamani?

Sema kanaomba hela hako.. hakana kona yani utasikia Tu naomba hela ukiuliza ya nini hakana jibu
Demu wako hajakomaa na kuwa na ngozi ka ya kenge? Mi Dodoma palinishinda. Ni mwendo wa vumbi na upepo.maisha gani hayo!
 
Dodoma kweli hali ya hewa mbaya. Nakumbuka miaka hiyo ukienda mjini unatembea na maji na mafuta kwenye bag incase vumbi limezidi miguuni au umepauka.
Unakuta mtoto mzuri kama wewe umepauka miguu ngozi imechanika kwa ukavu uzuri wote unapotea
 
Hata Wilaya ya Hanang mkoa wa Manyara tunatembea tumekunja ndita upepo mkali, baridi kali, vumbi la kutosha tinapauka sana jaman!!! Hauwezi kuitreat ngozi yako ikakaa vizuri sipendi mazingira yasiyotulia kama haya!! Muda wote makoti kama tunaendesha pikipiki
Hanang sijawahi fika, unajua bora kuwe na baridi kuliko vumbi na upepo hata kama unavaa koti kwa baridi sio mbaya. Sasa kuwe na upepo afu hewa isiwe na unyevunyevu inakuwa hatari na nusu. Vumulieni wakuu hakuna namna
 
Back
Top Bottom