Hamis Taletale: Neno Rais litumike kwa Rais wa nchi na si wengine kama TFF

Nyendo

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,201
4,129
1622463074379.png

Nchi yetu ina Rais mmoja tu Samia Suluhu, ningeomba hizi Rais wa shirikisho au TFF zitoke, wawe na vyeo vyao. Wanapunguza heshima ya neno Rais, unakuta mtu ana vumbi, Rais hawezi kuwa na kiatu kina vumbi tunatakiwa tuheshimu, ndiyo maana mimi nilijiita Babu"- Babu Tale.

======

Mbunge wa Jimbo la Morogoro Kusini, Hamisi Taletale amependekeza neno Rais litumike kumtaja Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan

Akiwa Bungeni amesema neno hilo kutumika kwa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) na wengineo linaishushia heshima

Ameshauri watu wapewe majina mengine ya Vyeo vyao akisema haiwezekani Rais akawa na viatu vyenye vumbi, ndio sababu yeye aliamua kujiita 'Babu Tale'
 
Nchi yetu ina Rais mmoja tu Samia Suluhu, ningeomba hizi Rais wa shirikisho au TFF zitoke, wawe na vyeo vyao. Wanapunguza heshima ya neno Rais, unakuta mtu ana vumbi, Rais hawezi kuwa na kiatu kina vumbi tunatakiwa tuheshimu, ndiyo maana mimi nilijiita Babu"- Babu Tale
Kajitahidi sana hapo ndio kafikia mwisho wa kuwaza eti eegh? Hongereni Moro kwa Mbunge mzuri mwenye maono, huyu si ndio alisema hawezi kufua hata boxer anarundika? Chawa wa mwendazake
 
Nchi yetu ina Rais mmoja tu Samia Suluhu, ningeomba hizi Rais wa shirikisho au TFF zitoke, wawe na vyeo vyao. Wanapunguza heshima ya neno Rais, unakuta mtu ana vumbi, Rais hawezi kuwa na kiatu kina vumbi tunatakiwa tuheshimu, ndiyo maana mimi nilijiita Babu"- Babu Tale
Hili jina ndilo walikupa wazazi wako.....!!!?
 
Back
Top Bottom