Ongeza ufanisi wa engine yako ya 1Hz ktk landcruiser 70 series kwa kuweka turbo na intercooler

Junnie27

Senior Member
Aug 18, 2021
119
189
Modification=TURBO na INTERCOOLER kwa 1HZ.

FAIDA MBILI KUU ZA TURBO

1. Kuongeza nguvu ya engine

-Turbo huongeza msukumo wa hewa safi kuingia katika engine na hivyo kupelekea uchomaji wa haraka wa mafuta kisha kuiongezea engine uwezo wa kufanya kazi kubwa kwa muda mfupi,hapo ni katika kurahisisha kufikia RPM za juu kwa muda mfupi. Hivyo basi utaweza kupata acceleration kubwa.(Work÷Time=Power)

2. Kupunguza ulaji wa mafuta

-Turbo husaidia kupunguza ulaji wa mafuta kutokana na nguvu ya ziada inayoipa engine,hivyo basi uzito wa gari kwa engine kupungua kwa kiasi kikubwa(power to weight ratio)

Turbo pekeyake haitoshi kukupa matokeo yaliyolengwa na teknolojia,hivyo basi husaidiana na INTERCOOLER, kifaa ambacho kazi yake ni;
1. Kupoza hewa iliyopata joto kwenye njia za turbo.
2. Kusaidia kuongeza uzito(density) wa hewa itokayo kwenye turbo.
3. Kuchangia kiasi kikubwa cha ongezeko la nguvu na kupunguza ulaji wa mafuta Kutokana na kwamba hewa ya baridi huwa na kiasi kikubwa cha chembe za oxygen,hivyo basi itakamilisha uchomaji kirahisi(Ifahamike pia oxygen ni hewa kuu chochezi katika vyanzo vingi zaidi vya moto).
.
TAHADHARI: ENDESHA GARI KWA KUZINGATIA TARATIBU ZOTE ZA USALAMA BARABARANI,JAMII INAKUHITAJI KATIKA UBORA WAKO.

USIJARIBU KUFANYA ZOEZI HILI MWENYEWE BILA MAARIFA YA KITAALAMU,HASARA INAYOWEZA KUKUPATA ITAKUPA MAJUTO.

Wasiliana nasi tukuhudumie kwa simu namba: 0626409908

#teamcruiser
#teamcruisermechanics
#landcruiser70series
#1hzturbointercooler
 
Umeongelea faida zake tu , hujataja hasara zake
1hz imetengenezwa kwa ajili ya natural aspiration , kuongeza turbo utaongeza stress amabazo hazikufanyiwa mahesabu na mjapan , main ,con bearing , thrust washels zitachoka mapema , tegemea kufanya overhaul hii engine mara kwa mara kuliko kawaida yake

Pili fuel consumption itategemea aina ya kazi na terrain unazokwenda , if you are running light , flat urban cruiser , huna haja ya kuhangaika na modifications kama hiyo.
Tatu tegemea heat damage hata kama ukibadilisha radiator , especially when you are asking for more power from that modified engine , kwa sababu ya haikuwa designed ku run on heavy combustion ratios.

Sina maana ya kupinga ulichosema , ni kitu kizuri tu , ila at least watu wajue madhara yale pia
 
Jibu hi kitu kutoka kwa mdau mwenzio

Akijujibu yeye kidume
 
Kwa upande wako uko sahihi But if huna research sizan kama una haki ya kuelezea kitu nakupa mfano mdgo sanaa Kwan engine zinaokuwa modified kutoka kutumia mafuta kwenda ktk gesi kuanzia engine block na combustion rate ya fuel na gas n sawa?

Hii inatokea kutoka na na advancement ya technology iko vp 70 series LC n gari ya zamani kdgo though now wame advance kdgo system za gari zao sa si tunachofanya n kufanya advancement ya gari za zaman 70 series ziendane walau na za toleo la sasa performance wize

Na pili unaposema mfumo wa kupooza utakuwa hauko proper sio kwel ndo maana tumeongeza heat kwa kuweka turbo na hapo hapo tumeweka intercooler kwa kuongeza ufanisi wa upoozaji simple example perfmnce cars mostly huwa zinakuja na stock topmount intercooler ila baada ya modification huwa tuna prefer front mount intercooler na gari zinaperfomce at proper and standard rate
Kwa leo naomba niishie hapa kama una swali la ziada karbu
 
Na kwa kuongezea kdgo ktk upande wa fuel consumption iko hv wote tuko ktk trip let say long trip nikiwa na turbo ujue tyl nan supportive tool ya kuongeza ufanisi wa combustion ambao ndo unaleta proper performance ya engine na we ukiwa huna turbo utaweza drive proper lakin kimahesabh wapi me napata advantage ktk fuel consumption

When we are going to hit 180km/h me naweza tumia sekunde 30 kufika lakini ka huna turbo waweza tumia even dakika na zaidi kufika sa ile rate ya we kuchelewa kufika lazma ukanyage kwel accerator na hapo ndo ulaji unakuwa mkubwa zaidi me naweza fanya half throttle nikapata io 180 nikiwa na turbo ila we lazma ufanye flat throtte kupata 180 so swala la mafuta katika turbo car huwa n nadharia tu tumejiwekea kuwa gari zenye turbo zina consumption kubwa kitu mbacho sio kwel

Na uzur sometimes ulaji wa mafuta n driving habit ako pia kuna namna how to get proper performance kwa utumiaji wa kawaida wa mafuta
 
Na katika hasara pia iko hamna chenye faida kisicho na hasara maana kuna advancement umefanya lazma kuwa na some faults japo tunaangalia je faida na hasara inatofautiana vp ndo maana project inakuja kuwa applied
 
Mkuu kwenye fuel to gas conversion kina hasara pia , gas inafanya dry combustion, so you loose lubrication element , ndio sababu engine za petrol zina maisha mafupi kuliko diesel engine . nikipata muda nitaelezea uzuri, mie sio expert, ukiniambia maswala ya research utanikwamisha kidogo !! Ila nina experience ya kutosha

Unaposema mfumo wa kupooza hautaathirika unakosea pia , joto ni lazima litapanda unapofanya modification kama hiyo, intercooler unayosema haipo kwa ajili ya kupooza joto la engine , ile ipo kwa ajili ya kupoza joto la hewa. Inayotoka kwenye turbocharger baada ya kuongezwa pressure ,naamiji unapofanya modification kama hii ni lazima utachezea injector pump kuongeza mafuta fuel ratio , na ndio hapo utaongeza joto.
Moja ya kitu kinachoua engine kwenye modification kama hiyo ni exhaust gas ! Umeongeza combustion, lakini hutapata chance ya kuondoa gas yote baada ya combustion, 1hz ina valve 12 tu , 2 per cylinder, hii ndo sababu 1hd zilitoka chache sana za 12 valve , baadaye wakaja na 24 valve ili engine ipumue vzr .
 
Na kwa kuongezea kdgo ktk upande wa fuel consumption iko hv wote tuko ktk trip let say long trip nikiwa na turbo ujue tyl nan supportive tool ya kuongeza ufanisi wa combustion ambao ndo unaleta proper performance ya engine na we ukiwa huna turbo utaweza drive proper lakin kimahesabh wapi me napata advantage ktk fuel consumption

When we are going to hit 180km/h me naweza tumia sekunde 30 kufika lakini ka huna turbo waweza tumia even dakika na zaidi kufika sa ile rate ya we kuchelewa kufika lazma ukanyage kwel accerator na hapo ndo ulaji unakuwa mkubwa zaidi me naweza fanya half throttle nikapata io 180 nikiwa na turbo ila we lazma ufanye flat throtte kupata 180 so swala la mafuta katika turbo car huwa n nadharia tu tumejiwekea kuwa gari zenye turbo zina consumption kubwa kitu mbacho sio kwel

Na uzur sometimes ulaji wa mafuta n driving habit ako pia kuna namna how to get proper performance kwa utumiaji wa kawaida wa mafuta
Labda hujafahamu vzur concept ya turbo, turbo ipo pale kwa ajili ya kufanya engine ziwe compact , kuna engine hazina turbo lakini zina balaa! Umeshawahi kuendesha Mitsubishi 4m51? Ukailinganisha labda na turbocharged 1hd? , Throttle response karibu zinalingana , tofauto ni kuwa 4m ina cc 5200 ilhali? 1hd ina 4200cc , na linapokuja swala la consumption 4m ipo vizuri kuliko 1hd.
 
Na katika hasara pia iko hamna chenye faida kisicho na hasara maana kuna advancement umefanya lazma kuwa na some faults japo tunaangalia je faida na hasara inatofautiana vp ndo maana project inakuja kuwa applied
Ni kweli kila kitu kina faida na hasara , but let's talk about risks rewards ratio, sijakupinga na projects yako labda usinielewe vibaya ,ila naeleza tu mambo na uhalisia wake
Kaka stock engine zinakuwa well calculated , unapofanya modification kuna vitu utagusa juu juu na kuna vitu hutaweza kufanya kwa sababu ya costs, na vitakugharimu
Nikupe mfano tu , najua kiasi kuhusu scania , 113 kwa mfano zilikuja na power options karibu tano , 310, 320, 360,380 na 400hp hii ilitengenezwa mwishoni kabisa na ilikuwa ni Edc ,japokuwa block, cylinder bore ilikuwa ni kipimo kimoja lakini gari hizi zilikuwa tofauti sana kuanzia spares hadi kudumu , 310 na 320 zilidumu sana na 400hp ilikuwa kinara wa kuchemsha
 
Back
Top Bottom