peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 13,435
- 22,233
RC Chalamila, Dc meru,DC Hai,waziri wa elimu, waziri wa afya na Naibu wake, katibu mkuu wizara ya afya na Mganga mkuu wa serikali, katibu mkuu wizara ya fedha, baada ya Rais kuapishwa leo. Mjiandae kwenda kuchunga mbuzi huku mliko zaliwa.Mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila amesema yeye na wananchi wote wa Mbeya wameupokea msiba wa Rais Magufuli kwa mikono miwili kwani kazi ya Mungu haina makosa.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!