Hakuna movie kali ya kivita kuzidi Saving Private Ryan

Hii ni mwisho wa matatizo, kwanza mwanzo tu wa movie kama una roho nyepesi huwezi kuendelea kutazama. Watu walichakazwa na risasi yaani sio poa.

Hivi kuna movie ya kivita kali zaidi ya hii? Nitajie kama ipo
Ulishawwhi iona Fury ya Brad Pitt?,ulishawahi ona movie inaitwa The bridge is too far?,kaziangalie hizi kwanza halafu uje ubadilishe heading ya uzi wako
Fury_2014_poster.jpg
 
Saving private Ryan
Wind talkers
Pearl harbor
We were soldiers
Black hawk down
American soldiers: A day in Iraq
13 hours: Secret soldier of Benghazi
Tears of the sun
Fury
Full metal jacket
12 strong

Movie zangu bora za kivita, ingawa sijaziweka kwa mpangilio ipi bora kulikobipu...hizo ni zile ninazozikubali.

Kama mpenzi wa military drama/series kacheki hizi
The last ship
Strike back
Valor
Seal team
Band of brothers
The unit
 
The last frontier, hatari sana the battle of moscow.
Danger close
Fury
1917
Hacksaw ridge
 
Final defence
The frozan front
When trumpet fade
Hizo ni baadhi ya movie kali sana za kivita...zile zinazosimulia habari ya WWII
 
Kwa watu kama mimi ambao tunaopenda tukio lililotokea ndio tutazame movie yake lazima nizikubali Saving Private Ryan, 1917, Dunkirk, Hacksaw Ridge, We were Soldiers, The Bridge too Fall, Greyhound na movies kama hizo.

Napenda historia hasa za kivita na huwa nazisoma. Hizo movie unakuta kabla sijaitazama nimesoma matukio yake kiuhalisia hivo nakuwa kwenye ulimwengu halisi.

Kuna utamu wa kutazama movie inataja terms kama mole, double agent, war ration, mayday, D day au majina kama Omaha beach, Spitfire, Heinrich Himmler, Goebbels, Mushashu. Yani ukijua kitu afu ukatazama movie yake ni raha sana. Achana na hawa kina Vin Diesel na makontena ya pesa.
Greyhound captain anamaliza battle anasali Kisha analala. Alinigusa sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom