mjombakim
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 1,193
- 1,851
Sio mafile hili ni jambazi kabisa!Sabaya ana mafile machafu, labda zisimfikie huyu mama wa Kislam. Waislamu hawapendi dhuluma!
Sio mafile hili ni jambazi kabisa!Sabaya ana mafile machafu, labda zisimfikie huyu mama wa Kislam. Waislamu hawapendi dhuluma!
Mgane!Haamini kuwa amebaki mjane.
Post haina mantiki.Usisahau kuwa the New President ni True Muslim na Hana Roho ya Ukatili. Atasikia manung'iko juu ya dhuluma na atafanyia kazi. Mark my Words! Uzi ubaki
Huyu sidhani kama ni YERO! Tena analipia picha isambae mitandaoni, ili new system umuone mzalando. Akalime nyanya huko Meru. Shwain kabisaMimi nilidhani huyu andakava ametahiriwa kimila kumbe Lina Lia Lia hovyo Kama hii mitoto inayosoma akademi.......
Moran kabisa unalialia. Huyu hata masufuria atakua anayasugua .
Hilo chozi ....Chozi hilo lina mengi ya kuongea
Meru hakuna maboya design hii labda aende Longido huko kusaidia kufukuza nzige!Huyu sidhani kama ni YERO! Tena analipia picha isambae mitandaoni, ili new system umuone mzalando. Akalime nyanya huko Meru. Shwain kabisa
Hamna lolote mama samia atawakumbatia genge lote la raisi magufuli, anawajua vijana na wale waliokuwa vipenz wa magufuli am telling u atawakumbatia na atawatetea100%. Mama Samia hawezi ruhusu vijana wenye tabia za kipuuzi kama huyu Sabaya akae serikalini, atamfukuza ASAP, let's wait, labda abadili tabia yake haraka sana sanaa.
Mama Samia anachukia sana watu wapenda kiki, ni mama mwenye huruma na mchapa kazi, hivyo wale wenye tabia ya kiki wajiandae..
Mimi nilidhani Ni kabila moja na Laigwanan mstaafu kumbe Ni mkwavi Fulani hata jando hajaenda.Huyu sidhani kama ni YERO! Tena analipia picha isambae mitandaoni, ili new system umuone mzalando. Akalime nyanya huko Meru. Shwain kabisa
Kwa mkoa upi?Huu uzi naomba uendelee kuwepo tuone km sabaya will pay...mnachosahau ni kua sabaya works for mfumo sio mtu...kaondoka mtu mfumo umebaki...mnaweza mkashangaa anapanda kua mkuu wa mkoa km Makonda alivyopanda kutoka ukuu wa wilaya enzi za JK hadi ukuu wa mkoa enzi za JPM...lets be smart and optimistic....siasa ni mchezo mchafu mtashangazwa mbaki midomo wazi
Hakuna kitu kama hicho, unajua hawa vijana wengi mapandikizi yaliteuliwa kuangamiza wapinzani hasa kuwatesa, walivyomaliza uko wakaanza kuwamaliza pia vijana wa uvccm na team ya MSOGA, embu fikilia mwenyewe hapo utakosa kumwaga machozi? na hapo anajua piga ua msoga jazz band inarudisha team.Hamna lolote mama samia atawakumbatia genge lote la raisi magufuli, anawajua vijana na wale waliokuwa vipenz wa magufuli am telling u atawakumbatia na atawatetea