Search results

  1. Muce

    Msaada ku-uninstall window 8

    Wadau computer yangu ilikuja na window 8 toka kiwandani sasa nataka kuibadilisha lakini inanisumbua haitaki kutoka, inawaka na kuonesha kwa kuna error wakati wa kuwaka na inaishia hapo haiendelei inataka nifanye recovery lakini nibonyeza key iliyonielekeza hakuna kitu kinaendelea, na baada ya...
  2. Muce

    Microsoft lumia 532

    Habari wadau, nimenunua lumia 532 made in vietnam, lakini inanizingua kuunganisha internet, naomba msaada kwa anayejua setting za kuunganisha internet. Nawasilisha.
  3. Muce

    Chanel zimepotea kwenye king'amuzi cha azam naomba msaada

    Habari wadau, Kuna channel 6 za muvi tv ya zambia nilikuwa nazipata tangu siku nilipofungiwa dish, lakini juzi ilikuja message ikinitaka kuupdate system kwa scanning, baada ya scanning zile channel zote zikatoka, nawezaje kuzirudisha zile channel? Naombeni wadau tupeane maujuzi, nawasilisha.
  4. Muce

    Kuvimba papuchi kwa mama mjamzito

    Habari wana Jf, mke wangu anatatizo la kuvimba papuchi mara tu baada ya kugegedana, tatizo hli limemuanza hvi karibuni baada ya kupata mimba, hii ni mimba yake ya kwanza hvyo hatuna uzoefu wowote, tunaomba ushauri wenu wataalamu na wazoefu.
  5. Muce

    printing service

    Wana jf ni wapi naweza kufanya printing and binding ya lesson plan kwa bei poa, format ninayo kwenye softcopy, stationery za kawaida gharama ni kubwa. Nipo dar Nawasilisha
  6. Muce

    Msiba mkwawa university

    Wameondokewa na dk. Itandala, aliyekuwa anafundisha history amefariki jana tar. 8 oct 2012. Source mkuu wa chuo
  7. Muce

    Nimeshindwa kumuelewa anamaanisha nini.

    Naombe ushauri wanaJF nina gf wangu wa mda mrefu kidogo, toka nimeanza kuwa nae sijawahi kusikia hichi kitu. Nilimpigia simu siku tatu mfululizo hazipokelewi, ikanibidi na mimi nikae kimya, siku mbili baadae akanitext eti nimemsusa, nikaamua kumpigia sim baada ya kumuuliza kwanini hakupokea sim...
  8. Muce

    DSTV Vs VING'AMUZI

    Tukiwa tunajiandaa kuingia katika mfumo wa digital hadi sasa sijapata jibu kipi ni bora kati ya kuwa na ving'amuzi vingi au bora nijiunge na Dstv. Maswali yangu sasa 1. Je nisubiri hadi tupate msimamo wa ving'amuzi vyenye uwezo wa kushika channel zote za hapa bongo? 2. Je nikinunua Dstv...
  9. Muce

    Wanachuo wa MKWAWA wageuka sungusungu

    Baada ya matukio ya watu kupingwa na kunyang'anywa mali zao kama simu na pesa na vibaka, wanachuo wa chuo hicho wanaoishi nje ya chuo wameanzisha operation za kuwasaka vibaka hao, Kwa taarifa nilizozipata kwa mmoja wa viongozi wa wanachuo hao wanaokaa nje ya chuo kuwa opration iliyofanyika jana...
  10. Muce

    Wimbo wa Kanumba: Alitabiri kifo chake?

    Kuna wimbo aliuimba steve kabla hajatutoka ni zab. 121
  11. Muce

    Laptop camera software

    Wakuu naomba msaada wa kupata camera software ya kuniwezesha kupiga picha kwa kutumia camera ya laptop, natumia DELL INSPIRON. Naomba kuwasilisha.
  12. Muce

    Window is not genuine

    Laptp yangu inaniletea msg kuwa window is not genuine naombeni mnielekeze jins ya kuiondoa. Heri ya mwaka mpya.
  13. Muce

    Naombeni ushauri kwa hili.

    Nina mpenzi wangu ambaye nimekuwa nae kwa muda mrefu sasa ingawaje kuna kipindi tulikorofishana na kutowasiliana nae kwa muda, lakini baada ya kuweka mambo yetu sawa na kuanza ukurasa mpya. mwenzangu amepata mimba lakini cha kunishangaza hajanipa taarifa kuwa anamimba na mimi nipo mbali nae...
  14. Muce

    Hellow wadau

    Heshima kwenu wanajamvi, hongereni sana kwa kulijenga taifa letu hili la mafisadi kwa mawazo yenu mazuri na kutufunza mambo mengi. nimekuwa nikitumia jamvi hili kupata habari kwa kina, hivyo na mm nimevutiwa sana kuwa member, hivyo basi naomba mnitambue kuwa mm bado learner katika uwanja huu...
Back
Top Bottom