Muce
Senior Member
- Dec 19, 2011
- 116
- 14
Wadau computer yangu ilikuja na window 8 toka kiwandani sasa nataka kuibadilisha lakini inanisumbua haitaki kutoka, inawaka na kuonesha kwa kuna error wakati wa kuwaka na inaishia hapo haiendelei inataka nifanye recovery lakini nibonyeza key iliyonielekeza hakuna kitu kinaendelea, na baada ya muda mfupi inazima yenyewe. Naombeni msaada wadau