Chanel zimepotea kwenye king'amuzi cha azam naomba msaada

Muce

Senior Member
Dec 19, 2011
116
14
Habari wadau,

Kuna channel 6 za muvi tv ya zambia nilikuwa nazipata tangu siku nilipofungiwa dish, lakini juzi ilikuja message ikinitaka kuupdate system kwa scanning, baada ya scanning zile channel zote zikatoka, nawezaje kuzirudisha zile channel? Naombeni wadau tupeane maujuzi,
nawasilisha.
 
Nafikiri ungewapigia simu huduma kwa mteja wa Azamtv watakupa maelezo waweza kuwapata kwa wavuti wao wa Home » AzamTV hapo kuna namba za simu iwapo unahitaji ufumbuzi wa matatizo yako
 
Habari wadau,
Kuna channel 6 za muvi tv ya zambia nilikuwa nazipata tangu siku nilipofungiwa dish, lakini juzi ilikuja message ikinitaka kuupdate system kwa scanning, baada ya scanning zile channel zote zikatoka, nawezaje kuzirudisha zile channel? Naombeni wadau tupeane maujuzi,
nawasilisha.

Mkuuu chanel gani hebu tutajie
 
Habari wadau,
Kuna channel 6 za muvi tv ya zambia nilikuwa nazipata tangu siku nilipofungiwa dish, lakini juzi ilikuja message ikinitaka kuupdate system kwa scanning, baada ya scanning zile channel zote zikatoka, nawezaje kuzirudisha zile channel? Naombeni wadau tupeane maujuzi,
nawasilisha.

unajua nini nishapata jibu zuriiii

ukiwapigia au ukienda azam utakua umeharibu cha kufanya mpigie simu fundi aliekufungia dish aje kwako theni umuelezee sawa yeye atakusaidia na sio mtu mwingine inawezekana aliziingiza kinyemela.

Mkuu basi usisahau kututajia hizo chanel na tuambie zinaonesha mambo gani???
 
Habari wadau,
Kuna channel 6 za muvi tv ya zambia nilikuwa nazipata tangu siku nilipofungiwa dish, lakini juzi ilikuja message ikinitaka kuupdate system kwa scanning, baada ya scanning zile channel zote zikatoka, nawezaje kuzirudisha zile channel? Naombeni wadau tupeane maujuzi,
nawasilisha.

hizo channel za zambia mbona mi sijawahi kuziona mkuu
 
Kunajinsi ya kuziweka ulipo upgred ndio ulizitoa ni pm nikupe jinsi ya kufanya au ni 0713666725
 
ila mkuu unatabia mbaya goodtime umekula peke yako sasa kwenye shida unatushirikisha aaaahhhh haya bwana.

Nilijua ni kati ya channels wanazotoa, nizakawaida ila mtoto wangu alizipenda sana channel zao ya katuni.
 
ha ha ha ha haaaaaa nadhani kila mtu anasonyea kwake baada kuja kumbe chanel zenye za tom n jerry(cartoon).
 
Nimejaribu kuingiza hzo freq
za kwanza sijapata kitu ila signal ipo, hyo ya pili nimepata channels
ambazo tayari zpo.

Maybe unge take risk ufanye FACTORY SETTING KWENYE RECEIVER YAKO, KISHA U RE-SCAN HIZO TP.
 
Aaaaaaaah..... sio vizur hivyo kama unamaujanja kuhusu azam tv tupeane wajameni kama kuongeza channel au hata kutolipia per month mbona fresh tuu!
 
kuna ndugu yangu anapata mpaka chanel za dini kama tv afrika pls anae jua naomba frequency 0717158081 hata kwa sms
 
Back
Top Bottom