Nimeshindwa kumuelewa anamaanisha nini.

Muce

Senior Member
Dec 19, 2011
116
14
Naombe ushauri wanaJF nina gf wangu wa mda mrefu kidogo, toka nimeanza kuwa nae sijawahi kusikia hichi kitu.
Nilimpigia simu siku tatu mfululizo hazipokelewi, ikanibidi na mimi nikae kimya, siku mbili baadae akanitext eti nimemsusa, nikaamua kumpigia sim baada ya kumuuliza kwanini hakupokea sim zangu akanijibu alikuwa hajisikii kupokea, eti kwasababu alikuwa period ki ukweli niliishiwa pozi, naombeni mawazo yenu juu ya hili nifanyeje?
 
PERIOD,kutakuwa network inasumbua sana huko. si unajua hizi kampuni za simu za tanzania, mtandao ni miji mikubwa tu, huko ndani ndani kama period ni taabu sana.
 
kufuatia haya uliyoyaandika yawezekana mara nyingi kama siyo zote kila unapomwita huwa nia ni kukutana kimwili na ndo maana alikujibu hivyo. Cha msingi yakubidi umzoeshe kumualika katika matukio au sehemu nyingine mbalimbali zisizo na mazingira ya kuleta matamanio ya kukutana kimwili kwa mfano mualike katika matamasha ya muziki, dini au sherehe mbalimbali. Ukifanya hivi atazoea na hata mara nyingine ukimuita katika maeneo yenye kuchochea ngono atakuja tu hata kama akiwa katika hali alokuambia. Kwa upande mwingine hii haizui kudhani kuwa alikuwa akikudanganya lakini dhana hii waweza kuikubali au kuikataa wewe mwenyewe kwa kuzingatia namna mnavyoishi na huyo GF wako. All in all pole na matatizo
 
Huko nyuma si alikuwa yuko fit. Alisizi kubleed? Ana lake jambo.
 
Hiyo inawezekana, kuna saa nyingine unakuwa hutaki kuongea na mtu.
 
Hiyo ina wezekana tena wengine wanakuwa na hasira lakini si wote, wengine ina kuwa kawaida. Kila mtu kuna jinsi yake ana vyopokea hiyo kitu.

Lakini simtetei fanya uchunguzi kwani sidhani kama mtu umekuwa nae muda usimjue, chunguza isije ikawa unaingizwa mjini.
 
PERIOD,kutakuwa network inasumbua sana huko. si unajua hizi kampuni za simu za tanzania, mtandao ni miji mikubwa tu, huko ndani ndani kama period ni taabu sana.

Dah, umenifurahisha saaaana. Tumuulize vizuri huko mtandao wa kampuni gani wanatumia huko Period
 
Piga chini huyo. Period inahusika vp na kupokea simu?? Si ndiyo angepokea akuambie mambo ya period???? stupid reasoning..
 
PERIOD,kutakuwa network inasumbua sana huko. si unajua hizi kampuni za simu za tanzania, mtandao ni miji mikubwa tu, huko ndani ndani kama period ni taabu sana.

Duh!mkuu nimecheka sana kwa hii comment yako,acha utani mwenzako penzi limemchanginyi
 
Naombe ushauri wanaJF nina gf wangu wa mda mrefu kidogo, toka nimeanza kuwa nae sijawahi kusikia hichi kitu.
Nilimpigia simu siku tatu mfululizo hazipokelewi, ikanibidi na mimi nikae kimya, siku mbili baadae akanitext eti nimemsusa, nikaamua kumpigia sim baada ya kumuuliza kwanini hakupokea sim zangu akanijibu alikuwa hajisikii kupokea, eti kwasababu alikuwa period ki ukweli niliishiwa pozi, naombeni mawazo yenu juu ya hili nifanyeje?

Huyo anatikisa kiberiti, hebu kausha kama wiki hivi unaweza pata pa kuanzia.
 
Msamehe kwa sasa kama ndio mara yake ya kwanza,subiri mpaka mwezi mwengine uone.
 
Nafikiri alikuwa anajipima kama anaweza ishi bila wewe, au how deep you are in her heart. Baada ya kumchunia akajua thamani yako ndio maana akakutafuta. She is either immature au she does not know what she wants!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom