Search results

  1. D

    yaliyonikuta baada ya kupokea namba 555

    Wiki hii siku ya Jumanne majira ya saa 10 usiku, nilipigiwa simu kwa namba ya 555! Sikuipokea baada ya kuangalia muda wa simu ile uliopigwa. Nikapata wasiwasi mkubwa nitamwomba Mungu sa usiku ule.mchana wa siku iliyofuata sikuwa na amani. Lakini jana usiku nilipigiwa tena muda ule ule...
  2. D

    Toyota Spacio inauzwa

    Toyota Spacio ya mwaka 2002 inauzwa Iko Iringa! Kilometer 14500. Bei Tsh Ml. 6. Iko katika hali nzuri! bei inaweza kushushwa. More info. Call 0713 560 587 Samahani picha imeshindwa kuapload kutokana na tatizo la mtandao! Unaweza kutumiwa kwa Whattsapp.
  3. D

    Samsung Galaxy S4 inauzwa kwa 600,000

    Habari, Samsung Galaxy S4 inauzwa iko katika hali nzuri, mpya kabisa, inauzwa kwa laki sita, 0713560 587 kwa maelezo zaidi
  4. D

    Mshahara wa Obama ni Milioni 624 za Kitanzania

    Mpaka kufikia mwaka 2012 rais huyo wa Marekani alikuwa na utajiri wa Dola za Marekani Milioni 11.8. Sawa na zaidi ya Bilioni 17 za Kitanzania Vyanzo ya Mapato hayo ni kupitia Vitabu na Siasa. Mshahara ni dola 400,000 kwa mwaka sawa na Milioni 624 za Kitanzania Obama ni Rais wa 44 wa Marekani...
  5. D

    kingunge aonekana msiba wa Chochole

    Kingungengombare Mwiru ametinga katika msiba wa aliyekuwa mfanyakzi wa Ofisi ya Makamu wa Rais Mr Chochole. Chochole amefariki usiku wa kuamka Jumapili, Ujio wake Kingunge umeshtua watu kutokana na ukubwa wa msiba wenyewe, nawasilisha.
  6. D

    RIck Ross hadi sasa hajatoa town

    Habari nilizozipata hadi sasa mwamamziki ambaye ataibeba Fiest kesho, Rick Ross bado hajatua mjini! Haifahamiki atatua muda gani!
  7. D

    Nchi anaishikilia nani kwa sasa?

    Mambo! JK yuko nje, Pinda yuko nje, Bilal naye yuko nje. Hata baadhi ya mawaziri wako nje ya nchi, swali langu nani anaishikilia Tanzania kwa sasa?
  8. D

    majibu usaili jioni hii

    Mtoa taarifa mmoja ambaye yuko polisi sasa, anasema Baada ya siku kadhaa za usaili, hatimaye jeshi la Polisi kwa kozi mbalimbali linatoa majibu ya usaili jioni hii, kila la kheri bandugu hao.
  9. D

    mtoto wa kihindi msaada

    Nipo katika ofisi mpya, tumetokea kumpenda mtoto wa kihindi mzuri kwa kweli anavutia. Msaada kwa mwenye uzoefu wa watoto wa namna hii. Mbinu nipeni nimpate.
  10. D

    Sikutamka kufutwa Chadema - Tendwa

    Tendwa katika mkutano wake wa juzi wakati akiongea na waandishi wa habari alisema, hakutamka kufutwa kwa Chadema bali alisema wanahabari waliandika vibaya(story iliandikwa katika gazeti la Mwananchi), kuwa amesema Chadema. Hata hivyo taarifa za ndani za Mwananchi zilisema ni kweli hakusema...
  11. D

    Huyu msichana ananifaa?

    Habari... nilikutana naye Saloon moja hapa mjini... akakubali kutoa namba na jana usiku tuliongea mengi tu (sikumtokea). leo tukakubaliana tule lunch, akakubali... lakini kutokana na foleni nikachelewa, aliniambia ameagiza chakula.. nilipofika kwenye mgahawa ule.. nikamkuta na njemba...
  12. D

    Mbatia aonya kuhusu mauaji ya raia

    WAKATI bado kuna sintofahamu ya mauaji ya mwandishi wa habari wa kituo cha Channel Ten, Daudi Mwangosi, Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), James Mbatia, amewaonya Wanasiasa na Viongozi wa dini kutotoa kauli nzito ambazo zinaweza kuhatarisha amani. Pia, Mbatia pamoja na Viongozi...
  13. D

    kituo cha biashara yafikisha ghorofa 100, source www.dewjiblog.com

    Hatimaye kituo cha biashara duniani, kimejengwa upya na sasa kimekamilika kikiwa na ghorofa 100, Visit MO BLOG
  14. D

    never trust a woman part 2

    Hello there baada ya mkasa wa kwanza na mwendelezo huu ni mkasa mwingine ambao umempata rafiki yangu....alikutana na mrembo (mchanga), kwa siku ya kwanza siku iliyofuata msichana akakubali wakapanga mengi ya maisha, cha kushangaza yule dada akasema ana mtu na kuanzia siku hiyo anaachana naye ili...
  15. D

    Bot yazindua mfumo wa mawakala kununua dhamana kwa mtandao

    benki kuu yazindua rasmi mfumo wa mawakala kununua dhamana kwa njia ya mtandao nimeona sasa hivi kupitia MO BLOG
  16. D

    Never trust woman

    nilikuwa kwenye hoteli moja kwa ajili ya kupata chakula, mhudumu wa kike alikuwa akitoa huduma mezani kwangu. Simu yake ikaita na kuipokea akisema "........ Nakuja niko nyumbani naoga nitakuja" NILILIPUKA kwa hasira nikasema mbona unamjibu uongo, akajitetea "ahh huwa anasumbua bwana" Wanawake...
  17. D

    Romney aide at 'holy site': 'Kiss my ***' hapa mwandishi angepona?

    WARSAW, Poland - A Mitt Romney spokesman reprimanded reporters traveling with the candidate on his six-day foreign trip, telling them to "kiss my a**" after they shouted questions from behind a rope line. As Romney left the site of the Tomb of the Unknown Soldier in Warsaw and walked toward his...
  18. D

    Bonde la Jangwani no more?

    Kampuni ya Strabag kwa mwendo huu! Unatuhakikishia kuwa hata tungekupa uweke sawa bonde la Jangwani litumike kwa ajili ya makazi kazi hiyo ungeweza.kazi anaifanya kujaza na kulisawazisha bonde hilo na kuonekana hakuna bonde
  19. D

    Blackberry Curve inauzwa

    Mambo! Blackberry Curve inauzwa More info call 0712 756 743
  20. D

    60 people perish Zanzibar

    Inasemekana watu 60 wamepoteza maisha katika ajali ya meli huko Zanzibar, Source: DW jioni ya leo
Back
Top Bottom