Never trust woman

DOOKY

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
370
50
nilikuwa kwenye hoteli moja kwa ajili ya kupata chakula, mhudumu wa kike alikuwa akitoa huduma mezani kwangu.

Simu yake ikaita na kuipokea akisema "........ Nakuja niko nyumbani naoga nitakuja"

NILILIPUKA kwa hasira nikasema mbona unamjibu uongo, akajitetea "ahh huwa anasumbua bwana"

Wanawake mbona mko hivyo... mnapenda kuwa sehemu ya kuleta matatizo ya kisaikolojia kwa wanaume.
 
ila wanawake too much, anaweza kuona mwenzake anagongwa baadaye akiombwa mchezo na jamaa yule yule aliyemuona akimgonga mwenzake, anatoa. sijui wana nn
 
Thats is one side of the coin, hujasikia za kiume, niko kazini, leo kazi nyingi. Kumbe yuko nyumba ndogo
 
kwa hyo huyo muhudumu tu kamfanya aamin wanawake wote hawaaminik....lol
sweeping generalization
na kweli watch out, pressure inakuvizia kwa kwa hali hyo....
sasa ulipuke kwa hasira kwa watu wasiokuhusu?

utapata magonjwa ya moyo soon.....
 
kwa hyo huyo muhudumu tu kamfanya aamin wanawake wote hawaaminik....lol
sweeping generalization
na kweli watch out, pressure inakuvizia kwa kwa hali hyo....

au niseme wanawake wote wanapenda kulishwa...lol
 
sasa hapo unamjudge vp kuwa mwanamke pekee ndio si mwaminifu ilhali yy kaombwa na na bwana wa mwenzie akakubal vp kuhusu huyo mwanaume anaegonga huku na huku............
acha hzo bana kha.........................
ila wanawake too much, anaweza kuona mwenzake anagongwa baadaye akiombwa mchezo na jamaa yule yule aliyemuona akimgonga mwenzake, anatoa. sijui wana nn
 
hahahahaaaaaaaa
au iwe wanaume wote wanapenda kulisha... [
mzima ww, QUOTE=The Boss;4373019]au niseme wanawake wote wanapenda kulishwa...lol[/QUOTE]
 
nilikuwa kwenye hoteli moja kwa ajili ya kupata chakula, mhudumu wa kike alikuwa akitoa huduma mezani kwangu.

Simu yake ikaita na kuipokea akisema "........ Nakuja niko nyumbani naoga nitakuja"

NILILIPUKA kwa hasira nikasema mbona unamjibu uongo, akajitetea "ahh huwa anasumbua bwana"

Wanawake mbona mko hivyo... mnapenda kuwa sehemu ya kuleta matatizo ya kisaikolojia kwa wanaume.

Acha tabia hiyo, yanakuhusu nini! Mweeeee, au unafanyiwa hivyo ukagundua sasa kila ukiona unyasi unasituka. Pole
 
nilikuwa kwenye hoteli moja kwa ajili ya kupata chakula, mhudumu wa kike alikuwa akitoa huduma mezani kwangu.

Simu yake ikaita na kuipokea akisema "........ Nakuja niko nyumbani naoga nitakuja"

NILILIPUKA kwa hasira nikasema mbona unamjibu uongo, akajitetea "ahh huwa anasumbua bwana"

Wanawake mbona mko hivyo... mnapenda kuwa sehemu ya kuleta matatizo ya kisaikolojia kwa wanaume.

hayo maneno ya uongo yalitokana na yeye kuwa mwanamke au tabia yake?
 
ila wanawake too much, anaweza kuona mwenzake anagongwa baadaye akiombwa mchezo na jamaa yule yule aliyemuona akimgonga mwenzake, anatoa. sijui wana nn
quote_icon.png
By DOOKY
nilikuwa kwenye hoteli moja kwa ajili ya kupata chakula, mhudumu wa kike alikuwa akitoa huduma mezani kwangu.
Simu yake ikaita na kuipokea akisema "........ Nakuja niko nyumbani naoga nitakuja"
NILILIPUKA kwa hasira nikasema mbona unamjibu uongo, akajitetea "ahh huwa anasumbua bwana"
Wanawake mbona mko hivyo... mnapenda kuwa sehemu ya kuleta matatizo ya kisaikolojia kwa wanaume.

DOOKY bado hujakua ukikua utaacha hizo hasira, yaani hata mwanamke asiyekuhusu unamkasirikia? hao ni wahudumu na Mabarmaid, anauwezo wa kwenda ofisini kwa boss au meneja na akashikishwa ukuta na ww upo hapo hapo hujamaliza kula
 
Back
Top Bottom