Nchi anaishikilia nani kwa sasa?

DOOKY

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
370
50
Mambo!
JK yuko nje, Pinda yuko nje, Bilal naye yuko nje.
Hata baadhi ya mawaziri wako nje ya nchi, swali langu nani anaishikilia Tanzania kwa sasa?
 
Mambo!
JK yuko nje, Pinda yuko nje, Bilal naye yuko nje.
Hata baadhi ya mawaziri wako nje ya nchi, swali langu nani anaishikilia Tanzania kwa sasa?

Nchi hii nimekwiaha wahi sema; INAJIENDESHA KWA KUTUMIA MFUMO WA AUTOPILOT! Rubani, wasaidizi na hata wabeba mikoba yao wote wanakuwa na nafasi yakufanya shughuli binafsi wakikiacha chombo KINATIRIRIKA (japo nadhani ni kuserereka zaidi)
 
Huyu naye yuko Marekani. Nchi hii haina haja ya kuendeshwa na mtu kwani inaendeshwa kwa mazingaombwe! Tena bora wasiwepo, maana wakiwepo ni ghasia tu barabarani, mara mmoja aende Pugu, mwingine Msoga na mwingine busy na Pugu Road akapande Tropical Air charter kwenda Zenji. Kwa safari zao hizo, ipo siku misafara yao itakuja kugongana, kama siyo hewani basi barabarani! Dhaifu bwana?
 
Wala isikuumize kichwa, hakuna anayekaimu. Kwasababu awepo mwenyewe au yeyote anayekaimu ni kama hakuna mtu tu!
mleta hoja kaleta idea ambayo wengi wetu hawaijui lakini be alerted from now.
Hii nchi viongozi wake wako busy na mambo yao kwa taarifa zenu na ukitafuta vizuri hapa jf kuna mabandiko mengi yanaongelea vizuri suala hili ....wanasema ni 'out piloting'. Na kwa hali hii ndio uamini hili.
Inakuwaje wote wasiwepo, ni kwa sababu hiyo hiyo ya kuwa hata wakiwepo hawaongezi wala kupunguza lolote!

Huyu naye yuko Marekani. Nchi hii haina haja ya kuendeshwa na mtu kwani inaendeshwa kwa mazingaombwe! Tena bora wasiwepo, maana wakiwepo ni ghasia tu barabarani, mara mmoja aende Pugu, mwingine Msoga na mwingine busy na Pugu Road akapande Tropical Air charter kwenda Zenji. Kwa safari zao hizo, ipo siku misafara yao itakuja kugongana, kama siyo hewani basi barabarani! Dhaifu bwana?

Hahahahaaaaaa,mkuu umetısha!lakını nı kwelı hawa watu hawatulıı
 
Back
Top Bottom