Search results

  1. NGUVUMOJA

    Kiongozi wa Upinzani nchini Burundi ameuawa kwa kupigwa risasi

    Mpinzani wa Nkuruzinza Zedi Feruzi ameuawa leo pamoja na mlinzi wake mjini Bujumbura Burundi. Hali bado ni tete Burundi. Chanzo: French int. News Source: Aljazeera
  2. NGUVUMOJA

    Hili limekaaje waungwana?

    Asilimia kubwa ya wanandoa hasa kina dada kutumia ubini(surname) wa waume zao. Utakuta mwanadada baada ya ndoa anaacha jina la ukoo wake alikozaliwa na kulelewa mpaka akapata akili na umri wa yeye nae kuolewa. Anabadili na kuchukuwa jina la ukoo wa mume wake. Tabia hii ipo kwa baadhi ya...
  3. NGUVUMOJA

    Maajabu USA

    Habari kutoka jimbo la Florida, USA zinasema, pametokea kuzama kwa ajabu kwa chumba cha Jaffrey Bush na mwenyewe akiwemo. Huku nyumba hiyo ikibaki bila ya dosari kwa nje lakini kwa ndani chumba cha kulala kikiwa kimezama kwa kina cha futi 20 (6m) hivi. Matumaini ya kumuokoa Jaffrey Bush akiwa...
  4. NGUVUMOJA

    Musungu imesama kwa shimo chumbani.

    Habari kutoka jimbo la Florida, USA zinasema, pametokea kuzama kwa ajabu kwa chumba cha Jaffrey Bush na mwenyewe akiwemo. Huku nyumba hiyo ikibaki bila ya dosari kwa nje lakini kwa ndani chumba cha kulala kikiwa kimezama kwa kina cha futi 20 (6m) hivi. Matumaini ya kumuokoa Jaffrey Bush akiwa...
  5. NGUVUMOJA

    jf haina mpinzani!!!

    kwa mabreaking news ndio usiseme, kwa vituko napo looh,kwa maoni ndio nyumbani kwake, kwa elimu napo heeeh, kwa kufurahisha ndio mahali pake, ya kuudhi pia yamo!!!
  6. NGUVUMOJA

    Kwa nini Watanzania tunapenda vya bure?

    Kama sio bure basi bei poa. Hata kama bidhaa zenyewe ni za chini ya kiwango. Tatizo ni umaskini wetu au ni mazoea tu?
  7. NGUVUMOJA

    Urais Wa Tanzania NOOOMA!!!!!

    Ni ukweli usiopingika kwamba Tz ina magonjwa mengi mno. Karibu kila nyanja inaumwa, tena kibaya zaidi nyanja zingine zimegubikwa na magonjwa sugu!!!! Tunaambiwa na 'Great Thinkers' kuwa kila Mtu anastahili apate mahitaji yake muhimu ya kibinadamu ili maisha yake hapa duniani yawe muruwaaa. 1...
  8. NGUVUMOJA

    Elections 2010 Nawaombeni Ushauri Wanajamii

    Kwa maisha tuliyonayo sasa ni vigumu kujitenga na siasa. Kwa maana hiyo basi nimeonelea niingie kwenye siasa kikamilifu. Nataka kuanzisha chama cha siasa. Swali ninalojiuliza je ni chama cha mrengo gani kitakachofaa kuondoa shida zetu lukuki bila kurudia makosa yaliyo/yanayofanywa na vyama...
  9. NGUVUMOJA

    Tuache tabia hii

    Kwa baadhi ya members kuanzisha thread za kichokozi na hasa zinazoudhi pia wengine posts zao zinatoka nje ya mada husika. Tubadilike ndugu zangu. Ni vyema tukahabarishana matukio muhimu na pia kuleta threads zenye maana/faida kwa jamii yetu. Nawasilisha.
  10. NGUVUMOJA

    Tuanzishe utaratibu huu

    Watanzania wenzangu, nashauri tuanzishe utaratibu wa form za kiapo kwa wagombea woote, hasa wagombea wa nafasi ya urais na ubunge. Ahadi zote watakozozitoa majukwaani tunasema "OK FINE BUT PUT IN WRITING" Jaza ahadi zako zooote kwenye fomu ya kiapo tena mbele ya mashahidi, kisha fomu zote...
  11. NGUVUMOJA

    Kuna umuhimu wa kuwa na wabunge zaidi ya 200?

    Huwa najiuliza kama ni muhimu kuwa na mamia ya "Waheshimiwa Wabunge" na utitiri wa Madiwani. Niliwahi kuambiwa "Hao ndio wawakilishi wetu wanaoikoromea Serikali ishughulikie matatizo yetu pamoja na kutuletea maendeleo" Inamaana Serikali haiyaoni na hivyo haiyashughulikii hayo"matatizo" yetu...
  12. NGUVUMOJA

    Tigo wanatudanganya

    Eti ukiongeza salio kwa Tigopesa utapata mara2!!! Lakini kumbe badala ya kupata mapeni mara 2 unapewa bonus ya dak. za nyongeza ambazo zinaexpire within a limited time!!!!!<br>Wizi mtupu!!!!!!!!!!
  13. NGUVUMOJA

    Tigo wanatudanganya

    Eti ukiongeza salio kwa Tigopesa utapata mara2!!! Lakini kumbe badala ya kupata mapeni mara 2 unapewa bonus ya dak. za nyongeza ambazo zinaexpire within a limited time!!!!!<br>Wizi mtupu!!!!!!!!!!
  14. NGUVUMOJA

    Siwapendi wanaojiita wanasiasa

    Kusema ukweli, walio wengi(may be 90%) ya hawa wanaojiita/tunawaita politicians wana target interest ya jamii kisha wanavalia njuga majukwaani kuombea KURA a.k.a. ULAJI kisha baaas. Hamna utekelezaji wa vitendo. Sanasana inaishia kuombwa radhi tu. 'Kumradhi ndugu zangu niliahidi 1 2 3 lakini...
  15. NGUVUMOJA

    Hodi jamvini bandugu

    Napiga hodi wajemeni naingia jamvini ok?
Back
Top Bottom