Elections 2010 Nawaombeni Ushauri Wanajamii

NGUVUMOJA

JF-Expert Member
Jul 1, 2011
1,347
325
Kwa maisha tuliyonayo sasa ni vigumu kujitenga na siasa. Kwa maana hiyo basi nimeonelea niingie kwenye siasa kikamilifu.
Nataka kuanzisha chama cha siasa.
Swali ninalojiuliza je ni chama cha mrengo gani kitakachofaa kuondoa shida zetu lukuki bila kurudia makosa yaliyo/yanayofanywa na vyama vilivyopo kwenye usajili hivi sasa?
Naambiwa na baadhi ya watu kuwa chama kinachoshika hatamu kimejaa "mafisimaji"
Kingine kinachofatia nyayo kimejaa watu wa eneo fulani na dini fulani pia naambiwa kimejaa 'udikteta'
pia kuna kingine naambiwa kimetekwa kwa kuwa 'Maalim' wake kaingizwa kwenye system si mpinzani tena.
Tena kuna vingine vilishakufa siku nyingi, yamebakia majina tuu.
Kumbe kuna vingine vya msimu tu basi. Nakumbushwa vingine ni vya mtu na mkewe ndio waliohodhi uongozi!!!!!!
Makosa yooote hayo sitaki kuyarudia kwenye chama kipya!!!!
Tunataka chama saaafi na viongozi wake wawe wasafi na wenye uwezo wa kutoa maamuzi magumu na siasa/malengo yake yawe saaafi!!!!
TUIJENGE CHI YETU KWA PAMOJA.
 
mimi nakushauri tuungane tutafute namna bora ya kushughulikia matatizo ya Tanzania, sijui kama tunataka multiplication ya vyama kiasi hicho. Lakini hoja yako inakuwa ni ya kichokozi hivi, sijui kama kuna nia ya kuunda chama hapa. La msingi ni matatizo ya watanzania si vyama
 
Unataka kuanzisha shule halafu hujui ufundishe nini! Hahahaaa jipange upya au njo cdm
 
Back
Top Bottom