Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama sio bure basi bei poa. Hata kama bidhaa zenyewe ni za chini ya kiwango. Tatizo ni umaskini wetu au ni mazoea tu?
ni tabia iliyorithiwa toka kwa mkuu wa kaya. Anapenda dezo huyooooo
Kama sio bure basi bei poa. Hata kama bidhaa zenyewe ni za chini ya kiwango. Tatizo ni umaskini wetu au ni mazoea tu?
Naongelea tabia za baadhi yetu kupenda vitu vya kupata kirahisi kuliko uhalisia wake. Mfano mmoja ni ununuzi wa bidhaa feki zisizodumu au hatarishi lakini tu kwa kuwa bei ya chini au umeahidiwa chako yaani 10%sija kuelewa mkuu, kama vip boresha kidogo.
Naongelea tabia za baadhi yetu kupenda vitu vya kupata kirahisi kuliko uhalisia wake. Mfano mmoja ni ununuzi wa bidhaa feki zisizodumu au hatarishi lakini tu kwa kuwa bei ya chini au umeahidiwa chako yaani 10%
Mkuu you've gone extremely deap.tumegawa viwanda vyetu eti ni uwekezaji tatizo ni kutoka utumwani. Tusingelikuwa watumwa tungeliweza kuwajua watu waliogawa viwanda vyetu bila kutuuliza kuwa ni wajinga zaidi yetu, pia hata wenyewe hawakuwa wakielewa madhara ya walivyofanye. Tukae tule matunda ya maamuzi yetu au tujifungue minyororo ya utumwa.
Nimeona hii nuukuu ikavisumbua sana akili. Haina tofauti sana na mawaidha ya Mwalimu Nyerere.
View attachment 39755
Pia mkuu wapo wafanya biashara wanaotaka kuuziwa mali za mashirika kwa bei poooa baada ya kuwatip wahusika.Umesahau pia wafanyabiashara wanauza kwa bei ya juu kuliko bei halali ya bidhaa, hivyo watu wamezoea kulialia bei ipunguzwe kwa kila kitu. na hii imekuwa ni tabia ya wafanyabiashara pia kupandisha bei tofauti na bei halali...
Unaongelea ukoloni mamboleo au sio?Kupenda vya bure ni tabia ''nzuri'' ya binadamu wote; kama hukujua wazungu ndiyo wanaongoza kwa kupenda vya bure ila usipofikiri kwa undani utadhani wao wananunua sana lakini siyo....Chunguza vizuri tena wanapenda kutuibia sana.
Kupenda vya bure ni tabia ''nzuri'' ya binadamu wote; kama hukujua wazungu ndiyo wanaongoza kwa kupenda vya bure ila usipofikiri kwa undani utadhani wao wananunua sana lakini siyo....Chunguza vizuri tena wanapenda kutuibia sana.