Siwapendi wanaojiita wanasiasa

NGUVUMOJA

JF-Expert Member
Jul 1, 2011
1,347
325
Kusema ukweli, walio wengi(may be 90%) ya hawa wanaojiita/tunawaita politicians wana target interest ya jamii kisha wanavalia njuga majukwaani kuombea KURA a.k.a. ULAJI kisha baaas. Hamna utekelezaji wa vitendo. Sanasana inaishia kuombwa radhi tu. 'Kumradhi ndugu zangu niliahidi 1 2 3 lakini bahati mbaya sikuweza sababu 1 2 3 4. Lakini sasa nipeni tena muone spidi yangu'
Baaaasi tunaishia kupiga miayo tu.
Nachukia kweli!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom