Musungu imesama kwa shimo chumbani.

NGUVUMOJA

JF-Expert Member
Jul 1, 2011
1,347
325
Habari kutoka jimbo la Florida, USA zinasema, pametokea kuzama kwa ajabu kwa chumba cha Jaffrey Bush na mwenyewe akiwemo. Huku nyumba hiyo ikibaki bila ya dosari kwa nje lakini kwa ndani chumba cha kulala kikiwa kimezama kwa kina cha futi 20 (6m) hivi.
Matumaini ya kumuokoa Jaffrey Bush akiwa hai yanazidi kupotea kwa jinsi muda unavyozidi kwenda. Waokoaji wanashindwa kuingia ndani ya nyumba hiyo kwa kuhofia usalama wao.
My take: Huu ni ukumbusho kuwa tumche MUNGU
 
Back
Top Bottom