Search results

  1. C

    Abdallah Mlawa na Malima Nderema, mwenye habari zao tafadhali

    Nawakumbuka hawa watangazaji wa RTD enzi hizo walifanya vizuri sana kwenye kipindi cha ngoma za asili, nakumbuka kipindi kilikuwa kinafanyika baada ya taarifa ya habari ya saa 4 asbh sina hakika ilikuwa kila siku au kila. Embu mtujuze mwenye habari zao!
  2. C

    A Wreath For Fr. Mayer By S. N Ndunguru

    Wanajamiiforums, kwa wale waliobahatika kusoma kitabu hiki hakika watakubaliana nami kwamba mwandishi alijitahidi sana kuwa na connectivity nzuri ya matukio na kitabu kimejaa furaha na kutia huruma kwa baadhi ya wahusika. Nimefurahishwa na safari ya Fr Moyo kule Ukerumani had alipokuja kuwa...
  3. C

    NAHITAJI WAALIMU WAWILI 2 PHY & MATHS

    Nafasi za (2) za waalimu 1: awe anafundisha Physics- ni sharti awe female 2: awe anfundisha Mathematics- ni sharti awe male Sifa za mwombaji Awe na elimu ya Diploma tu. NB: Kwa walio na elimu zaid ya diploma hawaruhusiw ku-apply Shule ya seminary (O-level) ipo mkoani Lindi. Kwa watakaopata...
  4. C

    Nahitaji mwl wa diploma wa Masomo ya MATHS, PHYSICS &HISTORY

    Ndugu wanajamiiforums, naomba kwa yeyote mwenye uwezo wa kufundisha masomo hayo tajwa anitafute kwa mawasiliano yafuatayo 0629836915 DEADLINE 19/12/2016
  5. C

    Sina imani na Mwenyekiti wa madereva

    Ndg zangu naomba niseme tu kwamba jana kwenye taarifa ya habari Azam TV walimhalika Mwenyekiti wa madereva kutoa ufafanuzi juu ya kukubali kurejea barabarani. Aliweza sana kutoa sifa nyingi kwa Paulo Makonda kwamba alitumia lugha ya busara na hekima ya hali ya juu sana hali iliyowafanya...
  6. C

    Mwalimu atakayetaka kwenda Mafia

    Kwa aliyetayari kwenda mafia elimu sekondari anaweza kunicheki kwa namba hizi:0789807787
  7. C

    Kulikoni selection za kidato cha tano?

    Ndg wanajamvi,poleni sana kwa majukumu ya hapa na pale. Naomba kujua kama hata kuna tetesi juu ya selection za kidato cha tano 2014, maana jambo hili lipo kimya sana. Ahsanteni.
  8. C

    ITV-Wanitatiza na Kiswahili hiki

    Taarifa ya habari ya jana iliyosomwa na Emmanuel Buholela alitumia neno KUMKALIA KOONI- "Wabunge wamemkalia kooni waziri Nyalandu....." Sasa sijui kama neno hilo ni sahihi ama la na je kama si sahihi ni ipi kazi ya whariri?
  9. C

    Who and Whom

    Hey members!Naomba nitoe msaada wa matumizi ya neno WHO & WHOM maaba watu wengi huchanganya sana. Kwa kifupi WHO hutaka kujua mtenda tendo(subject) wakati WHOM hutaka kujua mtendewa(accusative case) Examples:(1)Hamisi has gone to see DC. Who has gone to see DC?The answer must be...
  10. C

    Makinda huoni aibu?

    Ninapata mashaka na uwezo wa kufikiri wa mama huyu na kumwona kua ni msahaulifu. Mara ya kwanza alipotelea ufafanuzi suala la kupandishwa kwa posho za wabunge alidai kua gharama za maisha Dodoma zipo juu. Leo hii anatuambia mbunge si mtu tajiri kama watu wengi wanavyodhani,eti ana makato...
  11. C

    Makamu mkuu wa chuo Udom:Profesa Kikula awadanganya wanafunzi

    Wanafunzi wa chuo cha elimu Udom wamekusanyika utawala mkuu kutaka pesa zao ambazo zimeshafika chuoni,wamesaini lakini hawajalipwa. Makamu mkuu wa chuo adai pesa zitatoka kabla ya Ijumaa.
  12. C

    UDOM:mgomo wanukia

    Wanafunzi wa kitivo cha elimu wamekutanika katika moja ya majengo ya hostel linaloitwa block F. Mkusanyiko huo ambao umehitimisha kwa makubaliano kua wakutane kesho sa11 alfajiri kuelekea utawala,una lengo la kushinikiza utawala kuwapa hela zao ambazo walitakiwa kupewa tangu tar 16 ya mwezi...
  13. C

    Wasichana wengine ni waajabu na wabaya kweli!

    Mi siamini kama kutongoza ni jambo baya. Nikiwa lecture room,dada mmoja mwenye mvuto alivaa na kupendeza alikaa karibu nami,kiukweli sikumsikiliza tena mwalimu. Nikajikuta mwili umesisimuka,bila kusita nikamwomba namba naye akanipatie. Ujeuri wa dada yule siwezi kusahu,akanipatia number...
  14. C

    Mapenzi siku hizi ni kama bluetooth.

    Mahusiano ya kimapenzi nafananisha na bluetooth: IT CONNECTS WHEN IT STAYS CLOSE BUT WHEN YOU ARE FAR IT FINDS FOR NEW DEVICES.
  15. C

    Je mwaka 2011 ulikuaje kwako katika mahusiano?

    Binafsi,hali haikua nzuri hata kidogo zaid i miez ya Feb na June. Msichana ambaye tulikubaliana alipoamua kunisaliti na kuolewa na mwanaume mwingine kipindi cha mwezi wa kumi na moja ndipo alipofungua ndoa. Kilikua ni kipindi na mwaka mgumu sana kwangu kwani nilifedheheshwa sana na hata...
  16. C

    Ni kweli Baloz Seif kumrithi Luhanjo?

    Nimepata taarifa iliyotumwa kama post katika facebook kutoka kwa rafiki yangu anadai kwamba Baloz Seif ataapishwa kesho Ikulu na Mh.JK kwa nafasi aliyokuwa nayo Luhanjo. Mwenye kufahamu hili atujuze zaidi.
  17. C

    Mapenzi yapo hivi.

    Love relationships among the lovers are like bluetooth. They stay connected when they are close. And when you go away they find new devices.
  18. C

    Mpenzi wangu aombwa rushwa ya ngono ili apate kazi.

    Jamani Tanzania hali si nzuri hata kidogo. Mpenzi wangu yupo katika wakati mgumu wa kutafuta ajira,jamaa amemuahidi kazi ipo ila awe tayari kumtolea nguo za ndani. Nimemshauri aachane nae na kuangalia utaratibu mwingine. Mue makini dada zangu kwa hili.
  19. C

    Mgomo wa St.John's umezua balaa

    Inasemekana wanafunzi kumi na tano(15) wamesimamishwa masomo mpaka pale utawala wa chuo hicho utakapotoa maamuzi. Wanafunzi walisalia wametakiwa kuripoti chuoni hapo siku ya tar.02 Jan.Watahitajika kudownload barua maalumu itakayowekwa kwenye mtandao na utawala wa chuo hicho. Barua zao...
  20. C

    Diwani wa CCM afariki dunia Arusha

    Diwani,Bashir Msangi, wa kata ya Daraja mbili afariki dunia ghafla kwa BP. Source:Mwananchi.
Back
Top Bottom