Ni kweli Baloz Seif kumrithi Luhanjo?

CHIPANJE

JF-Expert Member
May 1, 2011
321
53
Nimepata taarifa iliyotumwa kama post katika facebook kutoka kwa rafiki yangu anadai kwamba Baloz Seif ataapishwa kesho Ikulu na Mh.JK kwa nafasi aliyokuwa nayo Luhanjo.

Mwenye kufahamu hili atujuze zaidi.
 
Ni kweli Mkuu,TBC1 wamesema.Ila wengine hatuijui hata sura yake,mwenye nayo atujuze.
 
Back
Top Bottom